album cover

Mine

12Afro-Beat2026
album cover
Mine was released on September 25, 2026 by Edda Africa as a part of the album Mine - Single
ReleasedSeptember 25, 2026
LabelEdda Africa
LanguageEnglish
BPM84
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Kama kioo nikikutazama
Unavyovutia, unanichanya
Kama maji nikikunywa
Roho yangu inatulia
Upendo wa kweli nauona
Hatuna kamchezo ka kulizana
Nitake nini, ninyimwe
Niulize nini, nisijibiwe
Eeeeeh eeeh
You are mine, mine, mine, mine
Sukari ya roho tamu ya ulimi
You are mine, mine, mine, mine
Sukari ya roho tamu ya ulimi
Ki mawazo unanipeleka mbali
Naenda mbali
Nasafiri kabisa
Uwanja wako tamba
Penzi lako sio famba
Usisumbuke kwenda kwa waganga
Usembe nishalamba
Waikata kiu yangu
Wewe ndio shibe yangu
Usingizi wangu
Mwalimu wangu
Usiende mbali yangu
Unaujua moyo wangu
Mtani wangu
Upo kwenye damu yangu
Upendo wa kweli nauona
Hatuna kamchezo ka kulizana
Nitake nini, ninyimwe
Niulize nini, nisijibiwe
Eeeeeh eeeh
You are mine, mine, mine, mine
Sukari ya roho tamu ya ulimi
You are mine, mine, mine, mine
Sukari ya roho tamu ya ulimi
Written by: Maryedda Raphael, Philibert Gilioma

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...