Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lomodo
Lomodo
Performer
Boniface beatus Madiwa
Boniface beatus Madiwa
12-String Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Liberatus Zeno Yeronimo
Liberatus Zeno Yeronimo
Songwriter

Lyrics

Heeee!!! heee!!!
Lomodo again..!
Mungu amejua kuumba aah!
Amejua kutengeneza kiumbe
Kukipamba mfano wa mauwa
Aah! Acha wanione mshamba
Amejua kukutengenezea kaumbo
Nane namba na moja yangu chukua
Unautunza utamu baby
Kwani wewe mzinga wa nyuki
Maana utamu wako kama asali
Olalalaaah..
Usije kwenda mbali baby
Wala usiwaze kunicheat
Mimi mgonjwa kwako sina hali
Olalalaaah...!
  Chorus
Najiuliza why ooh!! Why!?
Sikukuona mapema
Oh! Baby why ooh! Why!?
Sikukuona mapema
Najiuliza why ooh!! Why!?
Sikukuona mapema
Oh! Baby why ooh! Why!?
Sikukuona mapema
Verse
Nakama ikitokea ninaumwa
Niko hoi mahututi
Nipelekeni nyumbani kwake
Anajua nini anitibu
Yaani ikitokea nimezidiwa
Hunilaza maungoni mwake
Tiba yangu kifua chake
Unautunza utamu baby
Kwani wewe mzinga wa nyuki
Maana utamu wako kama asali
Olalalaaah..
Usije kwenda mbali baby
Wala usiwaze kunicheat
Mimi mgonjwa kwako sina hali
Olalalaaah...!
  Chorus
Najiuliza why ooh!! Why!?
Sikukuona mapema
Oh! Baby why ooh! Why!?
Sikukuona mapema
Najiuliza why ooh!! Why!?
Sikukuona mapema
Oh! Baby why ooh! Why!?
Sikukuona mapema
Written by: Liberatus Zeno Yeronimo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...