album cover
Furaha
album cover
Furaha was released on September 12, 2025 by Lomodo as a part of the album Furaha - Single
September 12, 2025
LabelLomodo
BPM84
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Mnavyohisi eti ameniroga
Mnavyohisi nyie eti ananiendesha
Aah! hapana hapana hapana
Nimapenzi ndio yameniteka
Hapana aaah!! Hapana
Hivo ndio mimi nataka
Nasiwezi kwenda mbali
Mimi niishi mwenyewe
Maana haya mapenzi
Ndio chakula yangu mie
Hawezi kwenda mbali
Yeye aishi mwenyewe
Maana haya mapenzi
Kanizoea mwenyewe
Chorus
 Sialinikuta
Sina raha
Akanionyesha
Hii furaha
Sialinikutaga
Sina raha
Akanionionyesha
Hii furaha
Vers
Hapendi vitu hampendi mtu
Kasema ananipenda mwenyewe
Nisiende mbali pembeni niwepo ooh!
Nikifa nitazikwa na yeye
Wangu babe ihii!!
Alivyo mtamu kama asali mimi nalamba
Ooh!! Yani..!!!
Kaniugeuza kocha kwake natamba
Nasiwezi kwenda mbali
Mimi niishi mwenyewe
Maana haya mapenzi
Ndio chakula yangu mie
Hawezi kwenda mbali
Yeye aishi mwenyewe
Maana haya mapenzi
Kanizoea mwenyewe
Chorus
 Sialinikuta
Sina raha
Akanionyesha
Hii furaha
Sialinikutaga
Sina raha
Akanionionyesha
Hii furaha
Aaaahmmm!!! Aaaaaaaah!!!!
Aaaahmmm!!!
Written by: Liberatus Zeno Yeronimo

Loading...