album cover
Iko Sawa
151
Worldbeat
Iko Sawa was released on March 20, 2025 by Brayban as a part of the album Iko Sawa - Single
album cover
Release DateMarch 20, 2025
LabelBrayban
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM80

Credits

PERFORMING ARTISTS
Prince brayban
Prince brayban
Performer
HARUNA PAUL
HARUNA PAUL
12-String Electric Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Prince brayban
Prince brayban
Songwriter

Lyrics

Verse 1
Ukioniona natabasamu, unaweza kudhani sijaumia
Ila mwenzenu nna machozi ya mbali na sio kwamba najikaza
Ukioniona nacheka na watu, huwezi kudhani sijaumia
Sema mwenzenu nna machozi ya mbali na sio kwamba najikaza
Tafadhari nisaidieni kitu
Hivi mtu anapendwa sababu ya kitu
Au kitu ndo kinafanya mtu
Ajisahau afanye hivi vitu
Roho ikiacha mwili baridi
Anayeumia ni anayependa zaidi
Asiyependa ndiye anafaidi
Sababu anaoffer kitu zaidi
Roho ikiacha mwili baridi
Anayeumia ni anayependa zaidi
Asiyependa ndiye anafaidi
Sababu anaoffer kitu zaidi
Chorus
Eti iko sawa
Au ina makosa
Nauliza iko sawa
Au ina makosa, semeni nyie
Eti iko sawa
Au ina makosa
Nauliza iko sawa
Au ina makosa, semeni nyie
Verse 2
Wakati mwingine nakufuru, naona ni bora nisingezaliwa
Wazazi wangu ni wazee, na nyimba inataka kuwaangukia
Nafumba macho nampa yeye, na nikipata namuongezea
Kumpata hadi amiss yeye, halafu ni bingwa wa kuongea
Ananikoromea nikiwa bure, ananiambia nijitafute
Ikibidi nirudi shule, nikijipata nimtafute
Tafadhari nisaidieni kitu
Hivi mtu anapendwa sababu ya kitu
Au kitu ndo kinafanya mtu
Ajisahau afanye hivi vitu
Roho ikiacha mwili baridi
Anayeumia ni anayependa zaidi
Asiyependa ndiye anafaidi
Sababu anaoffer kitu zaidi
Roho ikiacha mwili baridi
Anayeumia ni anayependa zaidi
Asiyependa ndiye anafaidi
Sababu anaoffer kitu zaidi
Chorus
Eti iko sawa
Au ina makosa
Nauliza iko sawa
Au ina makosa, semeni nyie
Eti iko sawa
Au ina makosa
Nauliza iko sawa
Au ina makosa, semeni nyie
Written by: Prince brayban
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...