album cover
Wanangu
10
Afro-Pop
Wanangu was released on June 25, 2025 by BXTRA RECORDS as a part of the album I AM KENNY - EP
album cover
Release DateJune 25, 2025
LabelBXTRA RECORDS
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM117

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Eyoo kenny
Eyoo kenny
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Eyoo kenny
Eyoo kenny
Arranger
Hermy B
Hermy B
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Eyoo kenny
Eyoo kenny
Producer
Hermy B
Hermy B
Compilation Producer
Cukie Daddy
Cukie Daddy
Mixing Engineer

Lyrics

Eyoo Kenny (Hahahha) Ahaaaa
Sina hela,
Sina hela Ahhha
Sina hela
Kweli nimekosa ila haina maana
Nikifika kijiweni mi ntalewa
Kweli nimekosa ila haina maana Ahaaa
Nikifika kijiweni mi ntalewa
Mi ntalewaa
Mi ntalewa
Mi ntalewa
Ntalewa
Mintalewa
Mh mh mhhh
Oya wanangu nyie (Heeeee)
Niwaambie (Heeeee)
Tukikosa vanti ata kiki tutumie (Heee)
Oya masela nyie niwaambie
Tukikosa kubwa ata ndogo tutumie (Heeee)
Oya wanangu nyie (Heeeee)
Niwaambie (Heeeee)
Tukikosa vanti ata kiki tutumie (Heee)
Oya masela nyie niwaambie
Tukikosa kubwa ata ndogo tutumie (Heeee)
Mhhhh mh
Mhhhh mh mhhh mh
Mhhhh mh
Mhhhh mh mhhh mh
Mhhhh mh
Mhhhh mh mhhh nh
Mhhhh mh
Mhhhh mh mh
Washikaji feki hatuna
Si kila kazi tunafanya
Tukipata pesa tunajichana (Heeeee tunajichana)
Washkaji feki hatuna
Si kila kazi tunafanya
Tukipata pesa tunajichana (Heeee tunajichana)
No let's go no let's go
Kipato changu kidoga
Izo babe kina aisha farida mwajuma msinchenjie
No let's go no les't go
Kipato changu kidoga
Izo babe kina aisha farida mwajuma msinchenjie
Harafu nikipata mi nawaka mi nadata
Mitungi shisha mi navuta
Ikikata mi nasepa aaah
Tuonane badae
Kwetu starehe gharama
Hakuna fujo usalama
Na jua likizama yaani
Mi ntalewaa mi ntalewaa
Mi ntalewa (Mi ntalewaa ahaaa)
Mi ntalewaa mi ntalewaa
Mi ntalewa (Yaani mpaka asubuhi)
(Mh mh mhh)
Oya wanangu nyie (Heeeee)
Niwaambie (Heeeee)
Tukikosa vanti ata kiki tutumie (Heee)
Oya masela nyie niwaambie
Tukikosa kubwa hata ndogo tutumie (Heeee)
Oya wanangu nyie (Heeeee)
Niwaambie (Heeeee)
Tukikosa vanti ata kiki tutumie (Heee)
Oya masela nyie niwaambie
Tukikosa kubwa hata ndogo tutumie (Heeee)
Mhhhh mh
Mhhhh mh mhhh mh
Mhhhh mh
Mhhhh mh mhhh mh
Mhhhh mh
Mhhhh mh mhhh nh
Mhhhh mh
Mhhhh mh mh
Written by: Eyoo kenny
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...