Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Vocals
Sharif Saidi Juma
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Adam Amiry Maingwa
Producer
GENIUSJINI X66
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Ilikuwa kula, kusoma, kucheza
Vingine nilivyotamani, kuvipata, vililetwa
Na wala sikudhani, hizi siku zitafika
Sikuwa na mashaka, naitae na miaka
[PreChorus]
Now nimekuwa, nimetambua
Utuuzi madawa, sio maua
Leo natamani, mi singekuwa
Utuuzi madawa, sio maua
[Chorus]
Bora zamani (Nilivyokuwa mtoto)
Ah zamani (Nilivyokuwa mtoto)
Bora zamani (Nilivyokuwa mtoto)
Ah zamani (Nilivyokuwa mtoto)
[Verse 2]
Huwa huyaoni, niliambiwa
Dunia ina mengi sana, usione mtu kainama
Oh, wasaka tonge, wanapambania
Apo mjini lawama, tena kuna muda unaumia sana
[Verse 3]
Oh, ilikuwa easy, huko nyuma rahisi sana
Type hizi, mizungu yangu na kupambana
Hata nikimissi, hakuna jinsi vile ntafanya
Mungu ibariki miziki yangu, fungua mianya
[PreChorus]
Now nimekuwa, nimetambua
Utuuzi madawa, sio maua
Leo natamani, mi singekuwa
Utuuzi madawa, sio maua
[Chorus]
Bora zamani (Nilivyokuwa mtoto)
Ah zamani (Nilivyokuwa mtoto)
Bora zamani (Nilivyokuwa mtoto)
Ah zamani (Nilivyokuwa mtoto)
Written by: Sharif Saidi Juma


