Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Chibby
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Leo mimi hadharani
Nakupa vyeo
Manyota nyota kibao
Kama polisi
Umenipa faraja
Toka umenipa hiki cheo
Na kwa upande wangu
Mi sina kipingamizi
[Verse 2]
Kama mapenzi
Macho yangu ukiyatazama
Ukiyatazama, yatakwambia
Nishajiweka kwako ujue
Sa itakua mbaya ukinidanganya
Nitatangatanga
Kwenye hii dunia
Ooh sina pakukimbilia
[Verse 3]
Anhaa basi na wewe usicheze, na zangu hisia
Taratibu taratibu na moyo wangu nisije kuumia
Onhoo ooh sina pa kukimbilia
Sina ooh sina pa kukimbilia
Ooh basi na wewe usicheze na zangu hisia
Basi taratibu taratibu na moyo wangu nisije kuumia
Onhoo ooh sina pa kukimbilia
[Verse 4]
Si unajua uwezo sina
Wakupigana nitaumizwa
Mwili wangu wa mapenzi
Basi nitunzie huba langu
Usijaribu kunipima
Ukanichota ukanimimima
Ukanichanganya na wengi
Hapo ndo pressure kizungu zunguu
[Verse 5]
My sweet penzi sio kisinia
Kwa bonge au kwa shishi
Watu kukigombania
My darling penzi sio kisinia
Eti kwa esha buheti
Watu kukifakamia
[Verse 6]
Kama mapenzi, macho yangu ukiyatazama
Ukiyatazama, yatakwambia
Nishajiweka kwako ujue
Sa itakua mbaya ukinidanganya
Nitatangatanga kwenye hii dunia
[Chorus]
Ooh sina pa kukimbilia
Anhaa basi na wewe usicheze na zangu hisia
Taratibu taratibu na moyo wangu nisije kuumia
Onhoo ooh sina pa kukimbilia
Sina ooh sina pa kukimbilia
Ooh basi na wewe usicheze na zangu hisia
Basi taratibu taratibu na moyo wangu nisije kuumia
Onhoo oonhoo sina pa kukimbilia
Written by: Sharif Saidi Juma


