Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Dwin
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Godwin Peter Lerowi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
RANDUBOY
Producer
Lyrics
Hivi unakumbuka
Kipindi nyuma nyuma unanifata
Wenzako wanakuja nambia kuwa unapendwa na yule mkaka
Hata namba sikusave ukipiga simu usiku nakata
Kipindi unaapa mchanga ukaramba kuwa hutoniacha
Kipindi unanipenda
saivi umebadilika
kidogo hasira unanijia juu ama ndo unamshipa
Kipi we sijakupa au kipi nikupe utaridhika
Birthday status huweki picha hiyo simu sjui ka nitaja ishika
Kidogo unafoka eti umechoka unataka ondoka
Kwani mi sijachoshwa kukusubiri kutwa unatoka
Hivi unahusi nakupenda sana ama naogopa si kuachana
Mi nahisi bado hujakua nahisi bado unauvulana
Kosa langu la mwaka jana kila muda unanikumbusha
We nikikuta simu sikioni huyo ni nani unanizungusha
Unaanza uwongo tu wakutupwa ni lawama tu zitatupwa
Eti napupa kunipooza utanipa hela ya kusuka
You got some nerve ****
You think am cheap kisa tayari umeshahit
Unaanza leta leta fix you got some nerve ****
**** please nakupenda ila
Unajisahau
Huko mtaani nikipita wananidharau
Mi ninaskia tu story flani flani flani unamtamani
Ila jua jua likiibuka haimaanishi kuwa halizami
Kuna kesho we dharau upendo huu si hauna thamani
You always funny yah yah ukiwa na wenzako
Ila uhh sitamani mi nikukute uko pekeako
Ila uhh nishapenda moyo wangu ni tayari wako
Ila uhh tunapoenda nitakuacha tu uende zako ila
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati una bahati yeah
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati una bahati yeah
Skia
Ongea kwa sauti ili wakuskie
Siunataka ujaze watu Wanione fyatu wakuhurumie
Unataka kuondoka nenda kwa ex wako fanya umridie
Nishakupa moyo kitambo kichwani mi usiniingie we
Unanichanganya afu nahisi unatuchanganya
Simu nikipiga iko busy eti ohh ninaongea na mama
Usiku nikirudi unabana duniani hawaishi wasichana
Unadai nina hasira ningekuwa na hasira ingekuwa lawama
Why you trippin
Hapo mwanzo hukuwaga hivi
Ilikuwa mi na wewe story za nje ndani hazisikiki
Kosa unageuza kibao Na simu password kibao
Hivi mama hujaskiaga ule na kipofu ila mkono hashikwi
Mara mimi Sikuelewi
Si tayari niko na wewe
Sasa why daily unaniuliza hivi nina mpango gani na wewe
Kwanza Mi sitaki kuwahi alafu na wewe hutaki uchelewe
Tunagombna kila siku ni ubishi chanzo ni wewe
Unasema mtaani vibaya wanakutazama
Mi sio player mi sio chama mi sipendi hata hizo drama
Hivi unanichukulia mi nyoka kila shimo tu nazama
Ukiona sipo ujue niki busy
Mishe mishe tu na wana
Sa kazana Kuongea ongea
Siukiendaga huko saloon mnapenda tu umbea umbea
Ila jua jua likiibuka haimaanishi kuwa halizami
Kuna kesho we dharau upendo huu si hauna thamani
You always funny yah ukiwa na wenzako
Ila uhh sitamani mi nikukute uko pekeako
Ila uhh nishapenda moyo wangu ni tayari wako
Ila uhh tunapoenda nitakuacha tu uende zako ila
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati una bahati yeah
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati uh moyo hupenda unachopenda
Una bahati una bahati yeah
Written by: Godwin Peter Lerowi