Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dwin
Dwin
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Godwin Peter Lerowi
Godwin Peter Lerowi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Bombo kong
Bombo kong
Producer

Lyrics

New flow new roll
New ways who\'s gone
Who came new plan
New day oh lord
Amen
Told my momma niombee
Bad spirits in they way hawatak tusogee
Semaa
Still good still aight
Still Ok ilibdi mi nifanye afu niwaache waonge
Oh wait
Anadai eti sikuhizi nimechange
But washikaji ambao daily nipo nao wanajua sibadiliki
oh man no way sibadiliki
nah nah sibadiliki
sibadiliki nah nah
sibadiliki never change
sibadiliki nah nah
sibadiliki no man
sibadiliki never change sibadiliki nah nah
sibadiliki never change nah never change nah
Bado
Niko na crew skiza la mkuu
Vunja miguu
Leta upuu leta ukuu
Mikono juu
Pyu pyu Ahh ahh Mhrgg mhrgg
Still the one hatuko two
Watch how i move
Nikiongea na mungu
Naomba busara kama suleimani
And then the money
And maybe labda tuone mwakani
Nisiache hustle nisiache sala nisingie gizani
Nisichie peni na hizi nondo ka gerezani
I been seeing new faces kibao hata siwajui
Sikuhizi naogopa wanaonizunguka zaidi hata ya maadui
Ni broken promises zaidi ya chupa club asubuhi
Ila nah hazichubui
Maana sikuhizi niko zamu
Niko tu mtaani namwaga damu
Wanasemaga hatuna nidhamu
Eti tu kisa yetu awamu
oh man no way sibadiliki
nah nah sibadiliki
sibadiliki nah nah
sibadiliki never change
sibadiliki nah nah
sibadiliki no man
sibadiliki never change sibadiliki nah nah
sibadiliki never change nah never change nah
New opps same thing
Same clique oh God
New day oh wait
Same shit ah nah
Wabana bana had to make it fit
Kama hatuongei nilichange sijachange that\'s it
Mkono haubadiliki hata zichangishwe karata
Bado ni nyerere zinasakwa na hizo mkapa
Bado nikigusa inanasa hazivuji data
Njooni huku mzame tu chaka kamnabisha bisha we fata
Written by: Godwin Peter Lerowi
instagramSharePathic_arrow_out