Credits

PERFORMING ARTISTS
Ngwair
Ngwair
Performer
Albert Mangwair
Albert Mangwair
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Albert Mangwair
Albert Mangwair
Songwriter
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
P-Funk Majani
P-Funk Majani
Producer

Lyrics

Weekend ikifika watu tunajirusha
Mwisho wa mwezi ukifika watu tunajirusha
Twende juu mpaka chini
Watu tunajirusha
Turuke juu turudi chini
Watu tunajirusha
Ijumaa imefika
Watu wote kwenye pilika
Wanataka kwenda kujirusha
Furaha tele watu wanaruka aah
Tusahau yote yaliyopita
Tujirushe wote kwa pamoja
Tufurahi bila ya woga
Hii ndo party tufanye vioja
Weekend ikifika watu tunajirusha
Mwisho wa mwezi ukifika watu tunajirusha
Twende juu mpaka chini
Watu tunajirusha
Turuke juu turudi chini
Watu tunajirusha
Wana party
Wana party
Wana party wana party wana party
Ukumbi umefurika
Warembo wanamiminika
Wanang’aa kama malaika
Viuno leo vinakatika
Mr DJ sababisha
Solo Thang mi na wakilisha
Ukumbi unatikisika
Mikono juu wote tunaruka
Weekend ikifika watu tunajirusha
Mwisho wa mwezi ukifika watu tunajirusha
Twende juu mpaka chini
Watu tunajirusha
Turuke juu turudi chini
Watu tunajirusha
Wana party
Wana party
Wana party
Wana party wana party wana party
Watu wanajirusha Dar mpaka Arusha
Kwanja wanaziruka club zimefurika
Toka nje mpaka ndani warembo wote wengi wana vimini
Mipasuo mpaka pajani udenda unatoka
Udenda unatoka ma brotherman
Waiter lete champagne
Leo ni raha shida weka pembeni
Ukileta fujo baunsa yupo getini
Mikono juu ah
Mikono juu ah
Mikono juu ah
Mikono juu ah
Bado bado watu wamepark ma Benz mpaka ma Prado
Kila mmoja ukimuona yuko kamili gado
Mikono kiunoni kwenye figure za model
Wenye pesa nyingi hawa bwana kwa nyodo
Mbwembwe nyingi bila shaka mikogo ah
Hii ndo party bongo
Wasio na pesa ya bia wanakunywa gongo
Usiowaona casino wanavinjari msondo
That’s right
Its a party yo!
Weekend ikifika watu tunajirusha
Mwisho wa mwezi ukifika watu tunajirusha
Twende juu mpaka chini
Watu tunajirusha
Turuke juu turudi chini
Watu tunajirusha
Weekend ikifika watu tunajirusha
Mwisho wa mwezi ukifika watu tunajirusha
Twende juu mpaka chini
Watu tunajirusha
Turuke juu turudi chini
Watu tunajirusha
Written by: Albert Keneth Mangwair (Ngwair), Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...