Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
ODI WA MURANGA
Performer
Iphoolish
Performer
Diaso
Performer
Francis Macharia
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Francis Macharia
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Clamer
Producer
Lyrics
Nachafua leo kesho narudia tena
Aninyima leo kesho namuomba tena
Naichapa leo narudia kesho tena
Tena na tena tunatoa banger
Hold up hii ni ya maballer
Hold up hii ni ya madonga
Hold up hii ni ma grown up
Wenye wanabuy wanabuy wanabuy wanazoza
Chali yako asifanye umeet bwana
Shweng ana maziwa mdachulize haijai lala
Me huteka mali fisa, we huskii sijaizama
Ashaniwai na nili mjua jana
Bank account ya mine
Uneza dhani ni ya chama
Nafinya lappy naget doo
Niko njama
Nyama nyama nyama
Mwenye kiti chairman
Unapenda kujifanya
Unapenda nyonga sana
Nachafua leo kesho narudia tena
Aninyima leo kesho namuomba tena
Naichapa leo narudia kesho tena
Tena na tena tunatoa banger tena
Hold up hii ni ya maballer
Hold up hii ni ya madonga
Hold up hii ni ma grown up
Wenye wanabuy wanabuy wanabuy wanazoza
Hold up hii ni ya madonga maballer pande Moja itaskika mkibonga holdup
Niko fiti nawachocha machaji nkujiroga mbaka bosi anabonda
Si adi mechi under waba niko steam steam niko tizi najikaza
Aah mazi yako amenihanda ako deep sleep Buda ulisaka dander
Nachafua leo kesho narudia tena
Aninyima leo kesho namuomba tena
Naichapa leo narudia kesho tena
Tena na tena tunatoa banger
Hold up hii ni ya maballer
Hold up hii ni ya madonga
Hold up hii ni ma grown up
Wenye wanabuy wanabuy wanabuy wanazoza
Ukikosa tei sana unaota na ma shetani
Nlizama ndani sana ungethani titanic
Venye naroga kwa izi beats wanadhani I'm satanic
Niko majani niko Mavella ndani ya bustani
Cheki Sir Jah aliumba leader
Cheki Tangu nkiwa Zygote
Cheki nyi ndo part of the reason
Nakama napumua ntachange with the seasons
Nachafua leo kesho narudia tena
Aninyima leo kesho namuomba tena
Naichapa leo narudia kesho tena
Tena na tena tunatoa banger tena
Hold up hii ni ya maballer
Hold up hii ni ya madonga
Hold up hii ni ma grown up
Wenye wanabuy wanabuy wanabuy wanazoza
Written by: Francis Macharia, Mike Makori