Credits

PERFORMING ARTISTS
Neema Gospel Choir
Neema Gospel Choir
Performer
Fredrick Kilago
Fredrick Kilago
Piano
Quillian kilago
Quillian kilago
Hammond Organ
Kepha Mdeme
Kepha Mdeme
Keyboards
COMPOSITION & LYRICS
John Kavishe
John Kavishe
Songwriter

Lyrics

Bonde limejaa mifupa
Mifupa mikavu
Je, yaweza kuwa hai tena?
Bwana anauliza
Bwana anauliza
Je, yaweza kuwa hai tena?
Kama Ezekiel
katika bonde hili
Tunatabiri
Tunatabiri
Kila kilichokufa
kipate uhai tena
Tunatabiri
Tunatabiri
Kwa neno la Bwana
Kwa neno la Bwana
Tunatabiri
Tunatabiri
Mifupa mikavu
Tunatabiri inapata uhai
Tunatabiri
Tunatabiri
Tunatabiri, Inapata Uhai
Tunatamka kwa neno
Na yote inakuwa
Tunatabiri, inatapa uhai
Written by: John Kavishe
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...