Credits

PERFORMING ARTISTS
Unspoken Salaton
Unspoken Salaton
Performer
Trio Mio
Trio Mio
Performer
Brian Salaton Lemaindo
Brian Salaton Lemaindo
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Brian Salaton Lemaindo
Brian Salaton Lemaindo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Unspoken Salaton
Unspoken Salaton
Executive Producer
Unspoken
Unspoken
Producer

Lyrics

Masiku zinasonga kwani haupangi kuolewa
Unazeeka
kwani haupangi kuolewa
Haupangi kuolewa
Kwani haupangi kuolewa
Wanakusema kila siku ati uko pekee yako
Waambie hauna haraka umechill uko zako,
Unakulala life wanadai kunyemelea,
Ndo wengi wataulizia kwani haupangi kuolewa
Wacha nlewe Wacha nbaki pekee yangu tu,
Mapenzi inawenyewe wenye wana mukuchu,
Natafa pesa Jo Kwa Sasa mi sitaki mu-tu
Ambia dereva we shukisha ehh siezi dhubutu
Zungusha mmh leo tuko njei party,
Nateka mmmh alafu tuna play dirty,
Dj hizi zinatubamba,
Waambie Ati mi pia najitataka
Masiku zinasonga kwani haupangi kuolewa
Unazeeka
kwani haupangi kuolewa
Haupangi kuolewa
Kwani haupangi kuolewa
Upangi kuolewa juu 30 is the new 40
My charji you're too cosy, uko tight na loose shawries.. (Da fouk)
Ni true story, malaya in full glory..
Ni kama ulirogangwa na mganga akachew mori
Why you never marry lots of fish innuh di sea
It's a pity na creepy vile kuteka iko kwa genes - usaki bibi?
Ni kutricky as it seems..
Nairobi mattress kubwa utajipata na mawinch winch - gwara gwara winch winch
Trust your instincts bitch an’penda big sticks
Kwachu inches, stamina for fitness
Panga wedding tule tunyama na fish sticks
Gwara gwara winch winch
Masiku zinasonga kwani haupangi kuolewa
Unazeeka
kwani haupangi kuolewa
Haupangi kuolewa
Kwani haupangi kuolewa
Si 2010 we uliona machachari
sikuchochi boss unafaa kuwa umemarry
Wacha ufala pelekea huyo dem mahari
Nakumbuka 1990 buda ulikuwanga nursery
Ukiuliza unasema una onenewa
Mastory mingi mingi aty joh una gongewa
Uko 40 na walai unachelewa
Manyewele ni za white utadhani zangalewa
Unajua mumeniita hapa
Utakula kofi acha ufala
Huna life huna wife
Masiku zinasonga kwani haupangi kuolewa
Unazeeka
kwani haupangi kuolewa
Haupangi kuolewa
Kwani haupangi kuolewa
Anapenda Jo Maluku na ma ice
Anabonga adi sheng vile Ina nice
Sini peng wa umo anajinice
Sini peng anadai Jo kulewa
Adai kuolewa anadai tu kupewa
Apangi kuolewa anapanga kuokolewa
Pale east Kuna peng Jo wa west
Anadai akona ganji anadai tu kuspend
Adai kuolewa anadai tu kuchase
Apangi kuolewa analia amechelewa
Apangi kuolewa anadai kuokolewa
Kwani uoni ati
Masiku zinasonga kwani haupangi kuolewa
Unazeeka
kwani haupangi kuolewa
Haupangi kuolewa
Kwani haupangi kuolewa
Written by: Brian Salaton Lemaindo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...