album cover
Nanenepa
album cover
Nanenepa was released on June 2, 2025 by MeChao Music (On Behalf of Andrew Mwawana) as a part of the album Nanenepa - Single
ReleasedJune 2, 2025
LabelMeChao Music (On Behalf of Andrew Mwawana)
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Mwana mechao
Mmh mmh haiyeeh
Mmh mmh mamamama
They call me andyboi
Hii dunia sio kwamba mimi na wewe ndo Wageni
Adam na awa ndo Walianzishaga foleni
Kuna muda nawazaga Yule nyoka hana baya Kule Edeni
Haya maraha ningepataje Maana nasahau mpaka Madeni
Ndio maana nanenepa Nanenepa nanenepa
Nanenepa
Utakuja niuwa bure
Nanenepa nanenepa
Nanenepa
Umenijaza jaza kwako
Mimi nyang'a nyang'a
Nanenepa nanenepa
Nanenepa
Si kwamba raha unayonipa
Nimetoka minyama minyama minyama
Aliyegawanya Bahari ni Mwanaume hodari
Na hatupo na mbali weka Imani tutafika bandari
Kachiri kachiri ikifika saa Mbili nikande na maji Bafuni nikumbushe ya Sayuni behbii
Kachiri kachiri ikifika saa Mbili nikande na maji Bafuni nikumbushe ya Sayuni behbii
Kuna muda nawazaga Yule nyoka hana baya Kule Edeni
Haya maraha ningepataje Maana nasahau mpaka Madeni
Ndio maana nanenepa Nanenepa nanenepa
Nanenepa
Utakuja niuwa bure
Nanenepa nanenepa
Nanenepa
Umenijaza jaza kwako
Mimi nyang'a nyang'a
Nanenepa nanenepa
Nanenepa
Si kwamba raha Unayonipa
Nimetoka minyama minyama minyama
Mmh mmmh mmh
Mmh mmmh mmh
Mmh mmmh mmh
Mmh mmmh mmh
Mi kwako kipofu ata
Wakitema nyongo
Penzi letu limenoga Nondo
Tumeyaziba yote miyanya Kokoto
Akuna pakutupa dongo
Written by: Andrew Isiah Mwawana
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...