album cover
Mama
467
Dance
Mama was released on December 19, 2025 by Beka Flavour as a part of the album Mama - Single
album cover
Release DateDecember 19, 2025
LabelBeka Flavour
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM153

Credits

PERFORMING ARTISTS
Beka Flavour
Beka Flavour
Performer
Bakari Katuti
Bakari Katuti
12-String Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Bakari Katuti
Bakari Katuti
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafia
Mafia
Mixing Engineer

Lyrics

Flavour huyo flavour hii ni yabimkubwa flavour huyo flavour,
Nani kama mama anaemdharau basi chizi huyo,
Me nampenda jama anaemsahu basi uchizi huyo,
Hogera mama yangu,
Mama we ndo mama shujaa,
Haukula vidonge mizizi ukaikataa,
Mama miezi tisa tumboni
Hukutaka uninyonge mama ukanizaa,
Mamaa chakukulipa sina zaidi ya shukurani,
Mama weee mamaa kuli lazima leo naitwa fulani,
Hata akiwa mfupi
Mama ni mama
Mrefu kama ngongoti
Mama ni mama
Fukara hana manoti
Mama ni mama
Awe na pengo kama la joti
Mama ni mama
Mweusi kama mpoki
Mama ni mama
Mlevi ambae pombe hazichoki
Mama ni mama
Hata kama hasoma
Mama ni mama
Maarifa yake makubwa sana.
Piga nae picha mnunulie nguo,
Avae apendeze akifa utafanya wapi wewewee,
Pesa mpe ale ndio mama huyo
Tena mbembeleze akifa utafanya wapi wewewee, duh
Unapendeza mama yako kama kichaa,
Unakula nyama mama kutwa dagaa,
Unapolala sehemu nzuri unaponda raha,
Ila mama yako anapolala kinyaa,
Mama we ndo mama shujaa,
Haukula vidonge mizizi ukaikataa,
Mama miezi tisa tumboni
Hukutaka uninyonge mama ukanizaa mimiii.
Mama chakukulipa sina zaidi ya shukurani,
Mama wewe mama kulia lazima leo naitwa fulani mimi.
Hata akiwa mfupi
Mama ni mama
Mrefu kama ngongoti
Mama ni mama
Fukara hana manoti
Mama ni mama
Awe na pengo kama la joti
Mama ni mama
Mweusi kama mpoki
Mama ni mama
Mlevi ambae pombe hazichoki
Mama ni mama,
Kama unampenda mama yako
Mungu akuzidishie,
Kama unampenda mama yako
Mungu akuongezee
Kama una mlavu mama
Milango akufungulie
Kama unampenda mama
Mibaraka ikumwagikie,
Kama unamchukia mama yako
Ulaaniwe
Kama haumpendi mama
Usifanikiwe
Kama unamchukia aliekuzaa
Ulaaniwe
Kama haumpendi mama
Mabalaa yakufikie.
Written by: Bakari Katuti
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...