album cover
Amani
363
Hip-Hop/Rap
Amani was released on June 20, 2025 by Tacy as a part of the album Amani - Single
album cover
Release DateJune 20, 2025
LabelTacy
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM86

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Tacy
Tacy
Performer
Thasiana Thomas
Thasiana Thomas
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Thasiana Thomas
Thasiana Thomas
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Khalii wiz
Khalii wiz
Producer

Lyrics

VERSE 1
I remember mama alisema maisha ni safari
Na alisema ni journey ndefu ambayo haihitaji usafiri
Pia alisema kuna wazuri na wabaya so niwe tayari
Just remember my baby never trust anyone
BRIDGE
Nimejifunza kujipenda mimi kwanza kabla ya wengine na nimetambua, nimetambua (i only gat me) yaani nimejifunza kutojipa umuhimu kwenye maisha ya wengine si rafiki si mpenzi, si udugu ni mwenyezi tu…
CHORUS
Nana nana nana
Moyo unataka Amani
Nana nana nana Oouuuwaaah aaah
Na na *2
VERSE 2
Binadamu tangu nyuma ni Adamu
Binadamu wamenikosesha hamu
Binadamu ukicheza nao wanaku harm
I don't know how to say this,
Lakini moyo wangu unaumaa sana,
Kichwani mawazo yanadiss,
Rafiki wa karibu ndo wanauana
BRIDGE
Nimejifunza kujipenda mimi kwanza kabla ya wengine na nimetambua, nimetambua (i only gat me) maana nimejifunza kutojipa umuhimu kwenye maisha ya wengine eh
Moja ntajipenda mimi mwenyew tu,
Mbili Mungu baba alie juu uuuh
CHORUS
Nana nana nana
Moyo unataka Amani
Nana nana nana Oouuuwaaah aaah
Na na *2
Written by: Thasiana Thomas
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...