album cover
Kamanda
50,018
Music
Kamanda was released on June 16, 2000 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Kamanda
album cover
Most Popular
Past 7 Days
00:00 - 00:05
Kamanda was discovered most frequently in the first few seconds of the song during the past week
00:00
00:40
00:45
00:55
01:05
01:15
01:20
01:25
01:35
01:50
02:05
02:40
02:55
03:05
03:10
03:15
03:30
04:00
04:15
04:25
04:35
04:40
05:00
05:30
05:55
00:00
06:10

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Daz Nundaz
Daz Nundaz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Miikka Aleksanteri Kari (Miikka Mwamba)
Miikka Aleksanteri Kari (Miikka Mwamba)
Composer
Feruzi Mrisho Rehani (Ferouz)
Feruzi Mrisho Rehani (Ferouz)
Lyrics
David Celestine Jacob Nyika (Daz Baba)
David Celestine Jacob Nyika (Daz Baba)
Lyrics
Rusajo Israel (Sajo)
Rusajo Israel (Sajo)
Lyrics
Rashid Kaombwe
Rashid Kaombwe
Lyrics
Noel Kapinga (Critic)
Noel Kapinga (Critic)
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Miikka Mwamba
Miikka Mwamba
Producer

Lyrics

Kamanda
Kamanda
Eh yoh
Siku mapigo yangu ya moyo wangu ya mwisho yatapogota
Nuru itazima mfano wa nyota inapodondoka
Sitoweza kuamka tena macho yangu yatapofumba
Safari imewadia naenda kwa baba muumba
Maasela nawaachia usia
Wambie ndugu na jamaa wapunguze kulia
Sote tutakwenda bali mi natangulia
Duniani siyo makazi yangu tena
Niombeeni kwa mola nilazwe peponi pema
Hamtaniona tena milele
Nawaachieni majonzi tele
Buriani naaga na natakata kauli
Roho yangu inatolewa na Israeli
Yowe la uchungu litasikika
Pale roho yangu itakapokuwa inatokaa
Vazi langu sanda nitakuwa nimevikwa
Niko kwenye jeneza tayari kwenda kuzikwa
Mauti pindi yataponikabili
Ni nani atakayeliziba pengo hili
Uhai tamati mzunguko wa damu umesimama
Kama jahazi kinani linazama
Buriani naaga masela
Kwaherini ndugu jamaa na masela
Suicide masela
Scout jenta masela
Kc camp masela
Bad memory squad masela
Buriani nakuaga mika mwamba
Ninakutoka kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Itakuwahuzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Mtabaki mnaniombea alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Mtabaki mnaniombea alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Sa usingizi wa kupoteza uhai waninyemelea
Jasho la hofu mwilini lanitiririka
Naangaza kiza mwangaza napata kivuli cha mshumaa
Malaika mtoa roho anisogelea, miamba inagongana dhoruba
Tetemeko ngurumo mithili ya radi,"Ooh my God"
Roho huruma anachomoka
chavuma kimbunga,najisi mwiko kuvunga
Kwa shingo upande jalada la uhai nafunga
Ghafla fahamu nazingwa na utandu ukungu
Shazingwa na ndugu kinywa chatema usia kwa mafungu
Aamualo mola wala hawezi kosea
Narudiudongoni nilipotokea
kwa nguvu za mwenyezi ntatokea usingizini
Nikiwatoka basi Yarabi yu kazini
Uhai bado nautamani
Ila sipaswi kubaki duniani
Safari ya ahera ishafika
kwaherini masela ndugu na jamaa
Mja rudi mola wako kama umepotea
Kumbuka aherandio unakoelekea
Anza kutenda mema kabla kifo hakijakukuta
Ukipuuza haya we utakuja kujuta
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Mtabaki mnaniombea alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Mtabaki mnaniombea alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
SAfari yangu sasa imeshawadia
Kurudi kwa baba yanipasa naaga dunia
Mwili umenyong'onyea,Viungo vimelegea
Fahamu nimeshapoteza nimezingirwa na giza
Milango yangu ya fahamu ishafunga
Kamanda naupoteza uhai nalamba mchanga
Umeshawdia wasaa pumzi nakata tamaa
Na Israeli roho yangu ndio anaitwaa
Maandiko ya baba sasa yashatimia
na huko ahera sijui wapi ntafikia
Jama naomba mnisamehe makosa yangu niliyotenda
ili nipate makazi mema huko nakokwenda
Kiroho nipo nanyi kimwili sipo tena
Fateni yale mema niliyofanya na kusema
Kwa huzuni nawaaga tena sirudi
Nasindikizwa na marashi ya ubani na udi
Kwenye kaburi mtanihifadhi
Na mbinguni ndio yangu milele makazi
Maombi yenu ndio yatayoniponya
Ili moto wa jehanamu nisijeuona
Buriani naaga masela
Kwaherini Ndugu jamaa na masela
Jiteute masela
Kwaherini ndugu jamaa na masela
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Mtabaki mnaniombea alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela
Safari yangu itapofika kwenda ahera
Mtabaki mnaniombea alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Alazwe pema peponi kamanda
Written by: David Celestine Jacob Nyika (Daz Baba), Feruzi Mrisho Rehani (Ferouz), Miikka Aleksanteri Kari (Miikka Mwamba), Noel Kapinga (Critic), Rashid Kaombwe, Rusajo Israel (Sajo)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...