album cover
Utajiju
3,753
Music
Utajiju was released on September 23, 2005 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Ubin-adam Kazi
album cover
Release DateSeptember 23, 2005
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Juma Nature
Juma Nature
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Songwriter
Juma Kassim Ally (Juma Nature)
Juma Kassim Ally (Juma Nature)
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
P-Funk Majani
P-Funk Majani
Producer

Lyrics

Haya tena lile kundi lako kubwa kabisa la bongo record (bongo records)
Linakuletea tamasha zuri kabisa la mziki wa hip hop
Ambalo linaletwa kwenu na msanii Juma Nature
Atawarusha kinona kwa kiingilio cha shilingi elfu mbili
Anatokea jamaa sijui anautaira gani
Kwani kiingilio shingapi mbona mnanichefua chefua
Tunakuchefua nini kwani hujasikia buku mbili
Sasa hiyo buku mbili si bora nikanune ubwabwa tu
Mzee starehe gharama na mziki unawatu wake
Kama pesa yako ndogo nenda tu ukanune maziwa
Uiondoe hiyo sumu yako ya maneno yako machafu
Uwaache wenye hela zao wajichane waburudike
Usivamie usivyoviweza dunia itakuadhibu hii
Sio fresh kumaind misala
Tangaza live ili tujue usionge tu na wenzio
Huo wivu wako wa sifa siku utachinjiwa baharini
Utasababisha samaki wakunyonye ulimi
Hivyo eeh bwana eeh utajiju
Kumbe mdomo ndio unaokufanya unachongachonga
Unakwenda nje ya mstari mpaka wazee wanasema unaboronga
Elewa wivu fitina vurugu zimemshinda bonga
Wamempiga juju kila siku anajifanya analonga
Ivi mnafikiri nini kukaa na kusema wenzenu
Mkuacha shughuli zenu mkaja mkaacha familia zenu
Mmeona hamna wa kusema mmeanza kusumbua wenzenu
Utajiju mi ni nani na nina asili ya nchi gani
Nikigundua we adui nakumiminia tu gun kitu gani
Dunia msumariwa moto shawambea usikuchome
La bongo mliache kama lilivyo la bush ndio hata usiliguse
We nyamaza kimya fikiria utawin vipi
Ikiwa utajisahau familia yako itaishi vipi
Mdomo hamfanyi mtu kujisahau kwa fikra au kuishi kwa fitna
Usidhulumu nafsi yakokwa kumsema mwenzio aliyetulia (aliyetulia)
Utaipoteza time yako kwa kesi mbaya isiyo na sheria (sheria)
Usidhulumu nafsi yako kwa kumsema mwenzio aliyetulia (aliyetulia)
Utaipoteza time yako kwa kesi mbaya isiyo na sheria (sheria)
Kuyapinga mendeleoya wenzio ni sawa na kukosa nidhamu kwa mwenzio (utajiju)
Kujifanya unajua na kubishia wenzio huku wewe unatega masikio (utajiju)
Kuyapinga mendeleo ya wenzio ni sawa na kukosa nidhamu kwa mwenzio (utajiju)
Kujifanya unajua na kubishia wenzio huku wewe unatega masikio (utajiju)
Unaringa umepima?
Usijishembedue kwa pozi wakati hujaenda angaza mama kujitangaza
Eti aaai huyo Juma nature mwenyewe mbaya
Mamdogo ujue mi siimbi mziki kwaajili ya kutangaza uzuri
Usiusemee moyo vigundule akaja kugundua
Na hata ukaanza kuongea vitu usivyovijua
Mwingine kakurupuka ndani kaacha kunyonyesha
Haka ka Juma Nature kenyewe ndio haka?
Eti hakana hata nyama
Mama usitafute lawama linda heshima yako ujue nakuheshimu kama mama
Kwanza mambo haya hayakuhusu mamboya vijana ee
Unakubali kuungua na jua kwa ushabiki ulio na kinyongo
Eti sijui kanakaa wapi Tandale au kisiju? Utajiju (utajiju)
Jibu ni lako na watu wako wasiopenda maendeleo ya vijana tunaojituma
Wenye kukusanya maneno ya wivu yasiyo na maana
Utafukia wapi chungu mdomo utaungua
Hili limedorora kesho lingine limekua
Mi inaniudhi tabia ya kumpa mtu hai halafu ye anajifanya anauchubua
Hivi anafikiri nini au ndio nitajiju ee?
Tukinyamaza sisi mzozo usio na vipozo
Utajijua una nini kichwani pungufuama pungufu
Mambo ya kusemana semana dada yamepitwa na wakati
Mtafute umpendae mkae ili mpeane mikasi
Mimi nimekukosea nini
Sikusaidii hunisaidii unachukizwa na nini
Au mnataka nicheke na nyinyi mniambukize ****
Wazamani sio wa sasa dada usihalalishe anasa
Unapiga hesabu kuleta fujo sehemu ambayo mi nipo
Wakati unajua fikra makomandoo wote wapo
Utapata nini zaidi zaidi upate kichapo
Baadae ufate mamwera watudandie tusiokuwepo
Usidhulumu nafsi yako kwa kumsema mwenzio aliyetulia (aliyetulia)
Utaipoteza time yako kwa kesi mbaya isiyo na sheria (sheria)
Usidhulumu nafsi yako kwa kumsema mwenzio aliyetulia (aliyetulia)
Utaipoteza time yako kwa kesi mbaya isiyo na sheria (sheria)
Kuyapinga mendeleo ya wenzio ni sawa na kukosa nidhamu kwa mwenzio (utajiju)
Kujifanya unajua na kubishia wenzio huku wewe unatega masikio (utajiju)
Kuyapinga mendeleo ya wenzio ni sawa na kukosa nidhamu kwa mwenzio (utajiju)
Kujifanya unajua na kubishia wenzio huku wewe unatega masikio (utajiju)
Written by: Juma Kassim Ally (Juma Nature), Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...