album cover
Inaniuma Sana
16,024
Music
Inaniuma Sana was released on December 12, 2003 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Ugali
album cover
AlbumUgali
Release DateDecember 12, 2003
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM97

Credits

PERFORMING ARTISTS
Juma Nature
Juma Nature
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Composer
Juma Kassim Ally (Juma Nature)
Juma Kassim Ally (Juma Nature)
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
P-Funk Majani
P-Funk Majani
Producer

Lyrics

Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku
Alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku
Walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser
Wamejaa hangover utazani jana yake walikesha
Akaja mshikaji wangu mmoja
kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye mlango wa gheto
Nature nature kuna mtu anakuhitaji, embu toka umuone
Kutoka nje namkuta msichana namfahamu kwa jina la Tina
Ambaye alisoma DSJ chuo kile kikuu cha habari
na nakatika kipindi hichi chote alikua anaishi hosteli
mshikaji akamuita, akasema huyo Juma huyu hapa
sasa ongea nae muelewane, twende mkajichane
Inaniuma sana
nikifikilia huwaga nina lia
Inaniuma sana
kila ninalofanya linakosekana
inaniuma sana
hata watoto wadogo wananicheka sana
Inaniuma sana
nikifikilia huwaga nina lia
Inaniuma sana
kila ninalofanya, linakosekana
Inaniuma sana
demu wangu amepima amekutwa anangoma
Mamboo
Safi tu Aunt sijui unamatatizo gani?
Akang'ata vidole ili nimuone bonge la shorty
sikujua alicho taka ila niliona ni miuuujiza
mtoto mdogo wa kike kunifuata usiku ulio jaa giza
kuanzia juu mpaka chini shepu yake ni ya kuigiza
Aunt si ushaniona mi naondoka naenda zangu kulala naistoshe usiku sahizi dingi
akisikia ni msala
Akang'ata vidole akageukiana na wenzakealafu wakapeana kama ishara
hehehe
Kama kuna mademu kamahawaaa asilimia tisini watakuwa wanaugua miwaya
Hii single inalizwa hailizwi hivi hivi nikikumbuka kipigo ambacho anapigwa mwizi
kinacho fuatia ni kifo hata kama awe anahirizi
tunarudia topic yetu samahani washikaji kwa usumbufu
kwa kusikiliza maneno matamu na yenye ubunifu
akarudi msichana akiwa na huzuni tokea jana
naomba kampani yako twende tukatese billcanas
ok hamna shaka twende tukafanye unachotaka
Inaniuma sana
nikifikilia huwaganina lia
Inaniuma sana
kila ninalofanya linakosekana
inaniuma sana
hata watoto wadogo wananicheka sana
Inaniuma sana
nikifikilia huwaga nina lia
Inaniuma sana
kila ninalofanya, linakosekana
Inaniuma sana
demu wangu amepima amekutwa anangoma
Unadai unakwenda shooting
kumbe unakwenda kufanya booking
mbona haujitangazi kuwa hivi sasa bwana we unauza
ili kuwasave washikaji wao wapate nao kujiuguza
we mwana hebu angalia huo uthamani wa wa utu wako
halafu tofautisha na uthamani huo wa upumbavu wako
kwa kucheza dili na magazeti ili waweze kuharibu jina
haya swala, hili swala kubwa ni lako mama usimsingizie Nina
Endelea kuponda mali mtoto Mungu ye tu atakusaidia
kila akitoka tu mpenzi wangu andika umeumia
wanaume wapo wengi wanene na wenyefedha fedha nyingi
ambao wanapenda mademu kama nyinyi wenye wanaume wengi
wenye nguvu za simba na wasio ogopa risasi
na wenye kuhonga twelve million or six dollars
Inaniuma sana
nikifikilia huwaga nina lia
Inaniuma sana
kila ninalofanya linakosekana
inaniuma sana
hata watoto wadogo wananicheka sana
Inaniuma sana
nikifikilia huwaga nina lia
Inaniuma sana
kila ninalofanya, linakosekana
Inaniuma sana
demu wangu amepima amekutwa anangoma
huu ni mtambo wa kurekebisha tabia umesikia
wa kwanza alikuwa dereva teksi imevuma tetesi
wa pili alikuwa mwenye pick up
akachangamkia chap chap
niliuzunika sana hii kitu mimi sito sahau
ulipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda
mlijiona mpo new york city starehe kugeana
mirenda kabla hajaondoka uliniomba hela ya kwenda
ukaniambia nisiwe na hofu mimi nipo pake yangu
Siri ikafichuka mlipo toka mlipo kwenda kuna mlevi mmoja alilewa akaropoka
"Huko tulipo kwenda mshikaji wangu noma kweli eeh sinta na mwenye gari mmoja
si walinyonyanaa ndimi nje njehadi kupata ajali wakati mumewe yu safari."
nikuulizaa "Bwana weee wanawivu hao"
we binadamu gani uchukiwe na kila mtu bwana
au kwakua mrembo mfupi na mzuri sana
na hao ni baadhi tu ya wale ambao mimi wafahamu mimi
wengine ni rafiki zangu nikiwatajahuwezi kuamini
haya wewe si msanii nenda kalipize kwenye Tv
Inaniuma sana
nikifikilia huwaga nina lia
Inaniuma sana
kila ninalofanya linakosekana
inaniuma sana
hata watoto wadogo wananicheka sana
Inaniuma sana
nikifikilia huwaga nina lia
Inaniuma sana
kila ninalofanya, linakosekana
Inaniuma sana
demu wangu amepima amekutwa anangoma
Written by: Juma Kassim Ally (Juma Nature), Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...