album cover
Mzuka
album cover
Mzuka was released on June 23, 2006 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Histori
AlbumHistori
ReleasedJune 23, 2006
LabelSony Music Entertainment East Africa
BPM91
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Yeah yeah yeah
Ahaa
Yeah
Once again Sir Nature
Mara nyingine msitu wa vina ndo nimerudi sasa
Na wale wote mlioniroga mtaipata pata
Sijafa natenda tu haki kama rais mkapa
Ukileta za kujua kwangu utatoka kapa
Tayari wananijua primary mpaka seco
Mnanua nini watoto wenu wakinipa tano
Sio kwamba kwa hila wanazimia tu michano
Kibaya hakipendwi na watoto uelewe
Furaha hekima busara upendo
P piga piano
Sinuni nuni hovyo nyie vipepe iga mfano
Na hii ni kwa wote wanaopenda mapambano
Wanachokoza mtiti halafu wanaogopa afande
Wanaogopa kipigo na upepo wa rumande
Mbu, joto ndo kawaida babaake
Ukimya usikuponze ukiniona tu upake usinipake
Kila mtu atakula kwa uzuri wa kazi yake
Kama kuniroga mmeniroga hamjatosheka bado?
Ni wengi waliobatili na mizuka ya usiku
Mnatoweka ghafla mkishazimisha mtu
Kumbe ndo maana mipango yangu haipangiki
Imeshapita siku hata mia mi sishiki
Kazi kuvuruga vibarua vya watu
Sijui mnataka watu eti walale watatu watatu
Nikiwaona ninawaogopa na ndio maana ninakurupuka
Usituchanje chanje wenzio mwanga wee
Mwili wa jamaa unamuuma katoka work vizuri
Afya yake nzuri anashangaa kufika getini kwake ulimi huo ooh
Muogope rabuka we mwanga usieridhika labda kuua na kuzika
Usinione hivi nimeshataabika vibaya
Wenye hela walinitesa na kwenye kazi tu nakesha
Sina bifu na kinyongo yoyote
Uhuni naujua toka *** uliza Daz nundaz
Nimeshachange akili kwasabu sasa nimeshakua
Na ninahitaji kuoa mke mwenye akili akiona bwege kauchubua
Riziki hii nimepewa na Allah subhanna wata’Allah
Na kushushiwa neema na mtume muhammad S.A.W
Na sio Saddam Hussein
Hii ngoma zina wenyewe we kigagura muuza sura
Atakuambia bro *** sichagui rafiki hata akiwa muosha maiti
Hata we ukifa wao ndio wataku tight
Ahh
Eee sio mwanga huyo haaa
Nimzuka huyo
Eeee sio mchawi huyo haaa
Ni shetani huyo
Eee sio mwanga huyo haaa
Ni mzuka huyo
Eeee sio mchawi huyo haaa
Ni shetani huyo
Huhu ha huhu huu
Huhu ha huhu huu
Huhu ha huhu huu
Shetani sio mzuka ila ibilisi mbishi
Mwenye kufata bichimwenye kukaanga mbichi
Kuzindika mibuyu tukipita mawenge ***
Watakutengenezea gundi ya kukunyatia ya kukukamatia
Kuzugusha zungusha tunguli na uchafu wa asali mbichi we vipi
Mwenzetu au vipi?
Mambo gani haya ya kishirikina
Utadhani watoto wadogo kumbe watu wazima
Hata aibu hamuoni
Unaficha hirizi hiyo ya nini kwapani
Usidhulumu nafsi fanya kazi ya halali
Haya uliona wapi ngozi ya mtu ikawe dili kama sio ukatili
Kujifanya carlos katili
Homa za watoto haziishi daily magonjwa ya ajabu ajabu
Huyu kavimba jipu mwanangu mjukuu wangu
Zaidi yapo wengi nywele zinanyonyoka
Ukimuuliza dokta anasema kaliwa na nyoka
Tuseme wote *** tumuombe Mungu atupe uhai
Yote heri bora uzima rabuka
Aah sio mchawi huyo
Sio mtu wa kawaida anataka nyayo huyo
Ushindwe ili acheke mtu mavi huyo
Kunya waziwazi utasema kapewa radhi na wazazi ipo kazi
Ip’ ip’ ipo kazi
Eee sio mwanga huyo haaa
Ni mzuka huyo
Eeee sio mchawi huyo haaa
Ni shetani huyo
Eee sio mwanga huyo haaa
Ni mzuka huyo
Eeee sio mchawi huyo haaa
Ni shetani huyo
Written by: Juma Kassim Ally (Juma Nature), Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)

Loading...