album cover
Hakawii
2,547
Christian & Gospel
Hakawii was released on July 25, 2025 by Digitone Music group as a part of the album Hakawii - Single
album cover
Release DateJuly 25, 2025
LabelDigitone Music group
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM81

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
J blessing
J blessing
Performer
Kambua
Kambua
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
jibril blessing
jibril blessing
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
J blessing
J blessing
Producer
Saint P
Saint P
Co-Producer

Lyrics

[Intro]
Nimeomba nimesubiri
Najua hakawii
[Verse 1]
Hajawai kuchelewa
Sauti yako haijawahi nyamaza
Nilipoona kimya wewe ulikuwa ukitenda
Sikuona mlango ukifunguka
Lakini ulituma neema kabla ya mlango kuonekana
Nilifikiri umeniacha
Lakini ulikuwa karibu kuliko pumzi
Wakati wangu ulikuwa mpangoni
Na jina lako kawa sahihi kwa saa zote
We ni Mungu wa ahadi
Na si mdogo wa miujiza
Majira yako ni ya milele
Na moyo wako hausahau
[Chorus]
Hakawii Mungu wangu hakawii
Kila chozi lina majira
Na kilio kina sauti yake
Hakawii hakawii
Yuko sahihi hata nisipoelewa
[Verse 2]
Wengine walicheka nikiwa nangoja
Wakaniambia mbona hajibu kama yupo
Lakini sasa naona kwa macho ya roho
Hakuna hasara kwa anayemngojea Bwana
Nililia bila majibu
Nikafunga bila kuona ishara
Lakini moyo wangu haukuwahi kuwa pweke
Kwa sababu polepole alinijenga kuwa shahidi
Wakati wake ni ushuhuda wangu
Haandiki kwa haraka
Ahadi zake ni za milele
Hakawii
Anajua kila dakika ya machozi yangu
[Chorus]
Hakawii Mungu wangu hakawii
Kila chozi lina majira
Na kilio kina sauti yake
Hakawii hakawii
Yupo sahihi hata nisipoelewa
Hakawii Mungu wangu hakawii
Kila chozi lina majira
Na kilio kina sauti yake
Hakawii hakawii
Yupo sahihi hata nisipoelewa
Written by: jibril blessing
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...