album cover
Timiza
album cover
Timiza was released on March 6, 2026 by Digitone Music group as a part of the album Timiza - Single
ReleasedMarch 6, 2026
LabelDigitone Music group
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Akisema atatimiza jambo
Kweli Yeye atatimiza
Akiahidi hatabadili neno
Mungu wangu hasahau
Niliona milango imefungwa
Nikahisi safari imekwama
Lakini sauti Yake ikaniambia
Ngoja kidogo, Mimi ni mwaminifu
Ah ah ah
Ahadi Zake ni za milele
Ah ah ah
Hazivunjiki, hazipotei
Ah ah ah
Akisema atatimiza jambo
Kweli Yeye atatimiza
Akisema atatimiza jambo
Kweli Yeye atatimiza
Hata ikichelewa machoni pa watu
Kwake Yeye ni wakati
Nilipotaka kukata tamaa
Uaminifu Wake ukanisimamisha
Kila neno lililo toka kinywani Mwake
Litasimama milele
Ah ah ah
Ahadi Zake ni za milele
Ah ah ah
Hazivunjiki, hazipotei
Ah ah ah
Akisema atatimiza jambo
Kweli Yeye atatimiza
Written by: jibril blessing
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...