album cover
Jembe
1,281
Afro-Pop
Jembe was released on July 25, 2025 by WCB Wasafi as a part of the album Jembe - Single
album cover
Release DateJuly 25, 2025
LabelWCB Wasafi
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM164

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Mr. LG
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Sisi wa Zanzibari
Tumekubaliana mitaani
Ikifika uchaguzi
Tiki tunaweka kwa Hussein Mwinyi
[Verse 2]
Lile lile ni jembe
Lile lile lile ni jembe
Lile lile ni jembe
Lile lile lile ni jembe
[Verse 3]
Amefanya amefanya
Amefanya mengi amefanya
WaZanzibari wote wamejionea
Hatuna budi kumpa mitano tena
[Verse 4]
Amefanya amefanya
Amefanya mengi amefanya
WaZanzibari wole wamejionea
Hatuna budi kumpa mitano tena
[Verse 5]
Tunampenda tunamkubali
Tunampenda sababu anatujali
Tunampenda tunamkubali
Tunampenda sababu anatujali
[PreChorus]
Sisi wa Zanzibari
Tumekubaliana mitaani
Ikifika uchaguzi
Tiki tunaweka kwa Hussein Mwinyi
[Chorus]
Lile lile ni jembe
Lile lile lile ni jembe
Lile lile ni jembe
Lile lile lile ni jembe
[Refrain]
Bila Huessein Mwinyi (Jee mwaona)
Bila yeye (Tutarudi nyuma sana)
Bila CCM (Aah Pemba)
Bila chama chetu (Tutaishi kwa mateso)
Bila yeye (Jee mwaona)
Bila yeye (Tutarudi nyuma sana)
Bila CCM (Aah Pemba)
Bila chama chetu (Tutaishi kwa mateso)
[Verse 6]
Ikifika uchaguzi tunafanya nini
Kwa Hussein Mwinyi tunaweka tiki
Wapinzani watapata nini
Wapinzani hawapati kitu
[Verse 7]
Ikifika uchaguzi tunafanya nini
CCM tunaweka tiki
Wapinzani watapata nini
Wapinzani hawapati kitu
[Refrain]
Wachekeni hah hah hah hah hah
Wazomeeni hao hao hao
Wachekeni hah hah hah hah hah
Wazomeeni hao hao hao
[Refrain]
Aah nauliza ikifika uchaguzi tunafanya nini
Kwa Hussein Mwinyi tunaweka tiki
Waambieni na wapinzani watapata nini
Wapinzani hawapati kitu
[Refrain]
Waambieni ikifika uchaguzi tunafanya nini
Kwa CCM tunaweka tiki
Waambie na wapinzani watapata nini
Wapinzani hawapati kitu
[Refrain]
Wachekeni hah hah hah hah hah
Wazomeeni hao hao hao
Wachekeni hah hah hah hah hah
Wazomeeni hao hao hao
[Bridge]
Siribisha siribisha C-C-C-C-C-C-C
Sisi ndo CCM
Ya C-C-C-C-C-C-C
Sisi ndo CCM
Ah yay sisi ndo chama la wana
Sisi ndo chama la mapinduzi
Sisi ndo chama la wenye nchi
Sisi ndo chama cha mapinduzi
[Outro]
Cheza reggae, cheza reggae
Cheza reggae na rais wa Zanzibari
Cheza reggae jamani cheza reggae
Cheza reggae na rais wa Zanzibari
Written by: Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...