album cover
Ngoswe
1,251
Worldwide
Ngoswe was released on September 12, 2025 by MADEMUSICBRAND as a part of the album Ngoswe - Single
album cover
Release DateSeptember 12, 2025
LabelMADEMUSICBRAND
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM111

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lody Music
Lody Music
12-String Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Lody Music
Lody Music
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Made Matrix
Made Matrix
Co-Producer

Lyrics

(instrumentals)
My My My
Dalili ya Kupendwa ni Kunenepa Me najiona ninanenepa bwana, me Nanenepa,
Dalili ya Kupendwa ni Kunawiri me Najiona ninanawiri sana, me Nanawiri
Mapenzi ukipofu fimbo yangu ipo Nae,
Tunapendezana mkubali mkatae,
Ye ndo anaefanya kichupa changu kisijae,
Msirushe mawe hii nyumba ya vigae...
Aaaaah aaaaaaaaah
Muda wote kwakweli natamani tuwe wote,
Akienda kazini natamani twende wote,
Kwake nipo tayari Nifanye Jambo Lolote,
Nayapenda Mapenzi Ndo maana naitwa Ngoswe....
Nimezama Nimezamaaa Nimezamaaa
(instrumental)
Nimetulia tuli sipatikani kwa simu Hivi sasa,
Napewa vitu vizuri sina mda wa kufanya Anasa,
Mimaji tunamwagiana si unajua tuna nyota ya Bata,
Me napendana nae kuwa nae ndo kitu Kina matter...
Mapenzi ukipofu fimbo yangu ipo Nae,
Tunapendezana mkubali mkatae,
Ye Ndo anaefanya kichupa changu kisijae,
Msirushe mawe hii nyumba ya vigae....
Aaaaaaaaah
Muda wote kwakweli natamani tuwe wote,
Akienda kazini natamani twende wote,
Kwake niko tayari Nifanye Jambo Lolote,
Nayapenda Mapenzi Ndo maana naitwa Ngoswe,...
Nimezama Nimezama Nimezamaaa
(instrumentals)
Oooh baby waonyeshee,
Pinduka kwa chini Fanya kama unachuchumia..
(Fanya unaisusa)
ichukue yote Fanya kama unaibugia,
(Aaaah Nipe)
Ukija kwa juu visigino kudidimia...
(Visigino vya kudidimia)
Nimekupa hiyo Kazi kwako kujipimia
Aaaah essence vibe
Fanyaaa Fanya Kama unaichumia,
Manager Made Fanya Kama unaisikia
Aaaah Fanya Kama unainamia, aaaah
(instruments)
Soundtribee....
Written by: Lody Music
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...