album cover
Tumetulia
51
Pop
Tumetulia was released on August 20, 2025 by Independent as a part of the album Tumetulia - Single
album cover
Release DateAugust 20, 2025
LabelIndependent
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM107

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jay Melody
Jay Melody
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Sisi tuli-tumetulia
Mbio tunasubiria
Tukianza kukimbia
Mbona hawatahadithiaa
[Verse 2]
Mbona hawatahadithiaa
Mbona hawatahadithiaa
Mbona hawatahadithiaa
Mbona hawatahadithiaa
[Verse 3]
Tuna twajivunia
Jemedari Tanzania
Kote utamsikia
Rais mama Samia
[Chorus]
Rais mama Samia
Rais mama Samia
Rais mama Samia
Rais mama Samia
[Verse 4]
Bahari na iwe salama
Kazi na utu kusonga mbele
Tuijenge nchi imara
Yetu sisi mimi na wewe, na wewe
[Verse 5]
Na sasa umesikia
Muungano twajivunia
Tuna mwenye jemedari
Kura tutampatia
[Chorus]
Aah tutampatia
Kura tutampatia
Ahh kura tutampatia
Kura tutampatia
[Verse 6]
Kwenye nia pana njia
Malengo kuyafikia
Jinsi tulivyopania
Habari utasikia
[Chorus]
Habari utasikia
Habari utasikia
Aah habari utasikia
Habari utasikia
[Verse 7]
CCM piga makofi weh
We makofi weh
Ah makofi weh
Ah makofi
[Refrain]
Ya mama Samia makofi weh
Oeh makofi weh
Ah makofi weh
We makofi
[Refrain]
Ya Rais Mwinyi makofi weh
Ah makofi weh
Ah makofi weh
Ah makofi
[Refrain]
Oh yeah CCM makofi weh
Ah makofi weh
Oh makofi weh
Eeh makofi
Written by: Jay Melody
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...