album cover
Raha Tele
1
Music
Raha Tele was released on November 10, 2025 by Lomodo as a part of the album Raha Tele - Single
album cover
Release DateNovember 10, 2025
LabelLomodo
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lomodo
Lomodo
Performer
Liberatus Zeno Yeronimo
Liberatus Zeno Yeronimo
Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Liberatus Zeno Yeronimo
Liberatus Zeno Yeronimo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lomodo
Lomodo
Executive Producer

Lyrics

Iyeee
Ah mmmmhh ammhhhh hiiiii aaah!!!! Mmh!
Siulitaka chama, mimi nikakupa pop coin
Ulipotaka mwili mimi nikakuweka moyoni
Naulipotaka nyama, mimi nikakupa ball coin
Ulipotaka vya ulimi mimi nikazama hadi sikioni
Ah! Oooh babe ntakufundisha makopa
Nakama kukupenda mimi nishazama dimbwini
Aah!! Yani babe nakupa mgodi Geita
Nakama kukupenda mimi nishazama dimbwini
Mimi nishadata kwako oooh! Babe iiih!!!
Yangu akili unaivuruga honey iiih!!!
Chorus
Basi unipe nikupe
Raha tele
Raha tele
Raha tele.!
Hadi uzeeni tuvuke
Raha tele , (yani)
Raha tele, (rahaa!!)
Raha tele (rahaaa..!)
Aaaaaaah!!! Aaaaah!!! Aaaaaah!!! Aaaaah!!!!...
Aaaaaaah!!! Aaaaah!!! Aaaaaah!!! Aaaaah!!!!...
Vers 2
Okey unataka tukale wapi dinner
Na shopping tufanye wapi china
Naomba usinikazie nati nitachina
Weee ayaaaa..!! aaaah..!!
Ah! Oooh babe ntakufundisha makopa
Nakama kukupenda mimi nishazama dimbwini
Aah!! Yani babe nakupa mgodi Geita
Nakama kukupenda mimi nishazama dimbwini
Mimi nishadata kwako oooh! Babe iiih!!!
Yangu akili unaivuruga honey iiih!!!
Chorus
Basi unipe nikupe
Raha tele
Raha tele
Raha tele.!
Hadi uzeeni tuvuke
Raha tele , (yani)
Raha tele, (rahaa!!)
Raha tele (rahaaa..!)
Aaaaaaah!!! Aaaaah!!! Aaaaaah!!! Aaaaah!!!!...
Aaaaaaah!!! Aaaaah!!! Aaaaaah!!! Aaaaah!!!!...
Written by: Liberatus Zeno Yeronimo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...