album cover
Umenicheat
album cover
Umenicheat was released on August 23, 2025 by IMUH as a part of the album Umenicheat - Single
ReleasedAugust 23, 2025
LabelIMUH
BPM127
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Onana nana nana nana e
Imuh
Kwahiyo ulimfanyia kama unavyo
Nifanyia
Kwahiyo ulimpa mapenzi kwa raha
Zenu mkajiachia
Ulinidanganya uku unanitazama
Usoni
Uwezi kunicheat kwani unalidhika
Na mimi
Kwa uwongo nikupe degree mana
Umehitimu mafunzoooh
Kama kuna tuzo wakupe MTV hazikufai hata tuzo za bongo
Umenicheat bila huruma umelala nae usiku mzima
Tena haswa umejituma mana naona message anazo tuma
Ana kusifia wewe(fundi balaa)
Unatawala kitanda(fundi balaa)
Yani show unaziweza(fundi balaa)
Yani unapumz ka mcheza riadha(fundi balaa)
Vitu vingine hata mimi haujawahi nifanyia
Umemuogesha kwa ulimi ona anavyo kusifia
Tena umempa mpaka style nilizo kufundishaa
Mana kachizika muda wote massage anajitumishaa
Umejirusha kama kete za mdako
Misifa kama unatafuta medal
Sijui kama huna vidonda vya koo
Mana umemnyonya mpaka sehemu za siri
Umenicheat bila huruma umelala nae usiku mzima
Tena haswa unajituma mana naona massage anazo tuma
 Anakusifia wewe (fundi balaa)
Unatawala kitanda(fundi balaa)
Yani show unaziweza(fundi balaa)
Yani unapumzi ka mcheza riadha(fundi balaa)
Naramba bakuli nikidhan nakula pekee yangu
 Kumbeee nakula uchafu wa wenzangu
 Issa yambata
You can call me zuzu
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...