album cover
Umejaa
album cover
Umejaa was released on September 19, 2025 by CADA ENTERTAINMENT as a part of the album Umejaa - Single
September 19, 2025
LabelCADA ENTERTAINMENT
LanguageEnglish
BPM93
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Aaaaah Fammi Eeh
 
Kwenye kichwa changu umejazana Wewe
Ushanijulia unanipa vitamu na kwenye dimbwi la mapenzi,
Nimeshazama lako wewe moyo wangu ushatulia kwako unanipa Amani
Afu mungu amekuumba wewe apo uwe na mimi,
Mungu amekuumba tujenge famili wewe na mimi,
Mungu Amekuumba uwewapeke yangu mimi Yani wewe Utaniuwa
Kwenye moyo umejaa wewe umejaa
Kwenye moyo umejaa yani wewe Tu
Kwenye moyo umejaa wewe umejaa
Kwenye moyo umejaa yani wewe Tu
Na moyo wangu nishafunga roki yani kwako,
Mi sichomoki kama Gari umepiga bleck nimetulia Nimetuliaa ?
Yani makopa yamezidi na Pendo letu ni uwa Lidi,
Mi na we tushashida Ligi tumetulia Tumetuliaa ?
Afu mungu amekuumba wewe apo uwe na mimi,
mungu amekuumba tujenge famili wewe na mimi,
Mungu Amekuumba uwewapeke yangu mimi, Yani wewe Utaniuwa
Kwenye moyo umejaa wewe umejaa,
Kwenye moyo umejaa yani wewe Tu
Kwenye moyo umejaa wewe umejaa,
Kwenye moyo umejaa yani wewe Tu
Weweeeh wewe weweeeh umejaaa,
We umejaa kwenye moyo wangu umejaa,
Kwenye moyo wangu umejaa,
umejaa Aah umejaa wanamuita Sizo
Written by: Fahmy Hemedi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...