Music Video

Diamond Platnumz - Sikomi (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to Sikomi - Single by Diamond Platnumz
ALBUMSikomi - SingleDiamond Platnumz
Listen to Diamond Platnumz Essentials featuring Diamond Platnumz
PLAYLISTDiamond Platnumz EssentialsApple Music African

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Wanasemaga mapenzi safari, unavyopita ndo jinsi unajongea Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea Niliposikiaga habari, yakisifika nikakesha nangojea Akabariki Jalali na nikawika muziki nikauotea Ile pruuu mpaka Macca nikadandiaga Bongo movie Kumbe mapenzi hayataki haraka, ni kama tango natia tu chumvi Mwenzenu nikaoza haswa, na kujitia kitandani mjuzi Eti nataka fukuza paka, badala ya mbwa nikafuga mbuzi Hhhmmm Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki Moyo ukanambia Nasibu sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi Ila nang'ang'ania Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine Ooh mbona sikomi Sikomiii Sikomi Licha ya mateso haya Najiuliza (oh sikomiii) Oh sikomi mbona (sikomiii) Mbona jamani Sikomi Licha ya mateso haya Hhhhmmm Aliyonifanyia wa central Haki ya Mungu siyawezi sema Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema Moyo walinipatia mateso Siwezi kumeza siwezi tema Ndio maana sikushanga ile ghafla Toka CCM kwenda CHADEMA Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie Nikajitia ukamanda yatakwisha Wacha nivumilie Kila kiza kikitanda Ndo visa machozi me nilie Penzi yakatia parapanda Kuwaita waje washambulie Aah Acha na Penny we darling Nilio muhongaga gari aliponambia ana mimba mwisho wa siku akaichomoa chaliiiii Mola akanitunuku Zari akanzalia dume na mwali Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka Kwa vyombo vya habari Moyo unanambia Nasibu sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi Lizer ananiambia Simba mapenzi basi Ila nang'ang'ania Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine Ooh mbona sikomi (mboooona) Sikomiii (mbona jamani) Sikomi Licha ya mateso haya Eh nishafumania (oh sikomiii) Nikafumaniwa mimi (sikomi) Nishagombana na watu (sikomiii) Licha ya mateso haya (mateso haya)
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Solly Cohen Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out