album cover
Massage
album cover
Massage was released on October 31, 2025 by OneLand Music Group as a part of the album Massage - Single
October 31, 2025
LabelOneLand Music Group
BPM139
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Nishike pole pole mimi bwana ya wenyewe
Happy hour na happy ending
Mechi ni ni tamu derby ni ya mashemeji
Mafuriko mifereji
Maji ya kunde nayo mboga kienyeji
Kanda uniondoeee kelele ya bibi
Panda unitoe mastress za wiki
Naenjoy sana naweza lala
Mambo ni mengi macheire cheza na masaaa
Massage oooh massage
Massage oooh massage
Mambo ni mengi macherie cheza na masaaa
Massage oooh massage
Hata mboga kavu siwezi kataaa
Tuko january mwezi wa njaaaaa
Inafaaa nirudi kazi saa nane
Unanishika mahali unanifanya nitoe sauti za kiajabu eeehhh
Unanirukisha line, utanifanye nikuje utaniweka kwa tabueeeehhhh
Hapo umeshika juu ya haga chini ya mgongo
Equator inatuma signal kwa kisogo
Kilimani ooohhh
Kilimani kama poko haishangi utamu
Massage oooh massage
Massage oooh massage
Mambo ni mengi macherie cheza na masaaa
Massage oooh massage
Nishike pole pole mimi bwana ya wenyewe
Nishike pole pole mimi bwana ya wenyewe
Naja kwakoweka simu mteja hapatikani
Nigeuze ka samaki iko mafutani
Hapa kwako nimefanya ikawa maskani
Nikiiingia ngware lazima ntatoka magizani
Massage oooh massage
Massage oooh massage
Mambo ni mengi macherie cheza na masaaa
Massage oooh massage
Written by: Benson Mutua, Bien Aime Alusa, Julius Okelo McRymboh, Savara Mudigi, Ywaya Eugine Simon
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...