Naruka
2,866
Christian
Naruka was released on November 22, 2025 by 2077525 Records DK as a part of the album Naruka - EP
Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Moise Basinza
Bass
PRODUCTION & ENGINEERING
PARKLANDS BAPTIST CHURCH
Recording Engineer
Lyrics
Eeeh, nitamrukia Yesu wangu yeye amenishindania Baba
Halleluyah! nitamrukia, aliumba vyote Baba
Naruka(naruka),naruka kama ndama
Narukia(narukia) Yesu(halleluyah) jemedari wangu
Oooh! naimba(naimba) kwa furaha (yeye)
Bwana Yesu(Bwana Yesu) ameniweka huru
Oooh aah! mimi natetemeka napo waza upendo wako ulivyo
Ewe Mungu wangu yeeiyee
Mimi nasifu ninaona mkono oooh wako juu yangu wala sishahili mimi eeeh
Nimehesabiwa mwenye haki mimi kwa damu ya
Yesu gharama kubwa yeeiye aah
Mungu mwenyewe kwa unyenyekevu wote kashuka chini
Mimi na wewe tuokoke eeeh
Naruka(yeeee),naruka kama ndama
Narukia(narukia) Yesu(halleluyah) jemedari wangu
Oooh! naimba(naimba) kwa furaha (halleluyah)
Bwana Yesu(Bwana Yesu) ameniweka huru
Nilikuwa kipofu uuu ameniokoa aaah kwa sababu gani nisiiimbe
Yesu amenitendea mema amenitendea mema Baba aah
Huyu Yesu ameniponya huyu Yesu amenitendea maajabu
Ndio maana ninaimba oooooh nitaruka (rukia Yesu)
Naruka naruka kama ndama (halleluyah)
Narukia Yesu(nitaruka) jemedari wangu
(Amenitendea) naimba(naimba) kwa furaha (halleluyah)
Bwana Yesu(huyu Yesu) ameniweka (ameniponya) huru
Naruka naruka (naruka mimi) kama ndama
(kwa sababu gani)Narukia Yesu jemedari wangu
Oooh! naimba(naimba) kwa furaha (halleluyah)
Bwana Yesu(Bwana Yesu) ameniweka huru
(naruka yee) sifa zako oooooh eeeh Babaa
Inua mikono inua mikono
Inua mikono inua mikono
(mabina mabina mabina nalola)
(mabina mabina mabina nalola)
(mabina mabina mabina nalola)
(mabina mabina mabina nalola)
Halleluyah amina Halleluyah amina
Nasherekea jina la Yesu (halleluyah)
Naruka ruka naruka ruka
Nasifu sifu mimi sitakoma kuimba
Naruka(naruka),naruka kama ndama
Narukia(narukia)Yesu(halleluyah) jemedari wangu
Oooh! naimba(naimba) naimba kwa furaha (yeye)
Bwana Yesu(Bwana Yesu) ameniweka huru
Naruka(naruka),naruka kama ndama
Narukia(narukia) Yesu jemedari wangu
Oooh! naimba(naimba) naimba kwa furaha (yeye)
Bwana Yesu(Bwana Yesu) ameniweka huru
Ametuamuru tumsifu yeye pekee yake
Naruka(naruka),naruka kama ndama
Narukia(narukia) Yesu jemedari wangu
(mimi naimba) naimba(naimba) naimba kwa furaha (yeye)
Bwana Yesu(Bwana Yesu) ameniweka huru
Niko huru kumsifu yeye
Written by: Eunice Njeri, Eunice Njeri Mathenge


