album cover
Umeniweza
album cover
Umeniweza was released on December 19, 2025 by 6489521 Records DK as a part of the album Umeniweza - Single
December 19, 2025
Label6489521 Records DK
LanguageEnglish
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Aibabi mmmmh I'm okay kigoma prince again I'm okay I'm gonna take you vacation twende dar au zanzibar zanzibar niambie twende wapi tuka enjoy sometimes you need my attention is your time kufurahi mmmh niambie twende wapi tuka enjoy mmmmh mmh navyo vichembe chembe vya mapenzi nawe mmmh niambie kama unaona haimaanishi navyo vya thamani hichi kidogo japo kwa imani nile na wewe nile na wewe umeniweza sina ujanja mi sina ujanja mi umeniweza baby baby sina ujanja mi my darling sina ujanja mi ndo nisha penda I believe for This our love mungu amenipa kilicho bora nafurahi kuona twaishi pamoja mimi na wewe ulipo nipo mi siondoki we nipende kila siku hainichoshi najua unawasiwasi na mimi mwenzako mi mpole na aaaah
Navyo vichembe chembe vya mapenzi nawe mmmh niambie kama unaona haimaanishi navyo vya thamani hichi kidogo japo kwa imani nile na wewe nile na wewe umeniweza sina ujanja mi sina ujanja mi umeniweza baby baby sina ujanja mi my darling
Sina ujanja mi
Ndo nisha penda skia sound umeniweza
Sina ujanja mi sina ujanja mi umeniweza
Sina ujanja mi sina ujanja mi ndo nisha penda
Written by: Aibabi Rajabu Mwiha
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...