album cover
Mazoea
album cover
Mazoea was released on December 27, 2025 by Ziiki Media as a part of the album Mazoea - Single
December 27, 2025
LabelZiiki Media
BPM178
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

I never doubt for your love baby ila sasa naumia aisee
Everything I do is worse, baby, I’m really feeling bad, I swear.
Ni kipi kinafanya usiongee wapi nakukosea baby
Ni wazi unanitia unyongee na unanilemea baby
Unayofanya unaniumiza boo
Unaniangaisha tuuu
Roho yangu unaiweka juu
Navyokupenda ungetulia tu
Mi nakupenda sio nalalama kwa mazoea
Kama wee ungekuwa mimi kwenye hili penzi ungekwama tu
Naumia nayopitia sasaa
Kutwa ni drama na mikasaa
Sinaga furaha hata lisa saa
Unaniumiza oh baby
Kipi nifanye hivi sasa
Mana amani naipapasa
Napitia gumu darasa
Nifaulishe baby ooh
Ni kipi kinafanya usiongee wapi nakukosea baby
Ni wazi unanitia unyongee na unanilemea baby
Unayofanya unaniumiza boo
Unaniangaisha tuuu
Roho yangu unaiweka juu
Navyokupenda ungetulia tu
Mi nakupenda sio nalalama kwa mazoea
Kama wee ungekuwa mimi kwenye hili penzi ungekwama tu
Written by: Adam Shashi Ismail Kayoza
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...