album cover
Nuru
410
Afro-Beat
Nuru was released on January 12, 2026 by 9244443 Records DK as a part of the album BAADAE
album cover
AlbumBAADAE
Release DateJanuary 12, 2026
Label9244443 Records DK
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM84

Credits

Lyrics

Udedee
Hadi niliishiwa pumzi, nikashindwa kuongea
Nikakiona kifo, kinaninyelemea.mmh
Nikapiga goti kwa uchungu
Nikasema haki baba naonewa
Furaha ya makasiriko,sikupata pa kupenyea,
Moyoni mwangu kuna nuru
Ikaniambia simama
Mwanangu sasa uko huru
Umebarikiwa vingi ambavyo hawana
Siwezi kuacha kusema nashukuru
Hapa nilipo hivi sasa yapasa kushukuru
Siwezi kuacha kusema nashukuru
Hapa nilipo hivi sasa yapasa kushukuru
Kumbe kidonda hakikuwa changu tu
Kuna wengine waliumia
Kwa ushauri nikawaelekeza kwako juu
Hivi sasa wanakutumia
Mwenye upendo ni wewee
Wakupewa sifa ni wewee
Usiyebaguaaa, upewe mauaa
Baba moyoni mwangu kuna nuru
Ikaniambia Simama
Mwanangu sasa uko huru
Umebarikiwa vingi ambavyo hawana
Siwezi kuacha kusema nashukuru
Hapa nlipo hivi sasa yapasa kushukuru
Siwezi kuacha kusema nashukuru
Hapa nilipo hivi sasa yapasa kushukuru
Written by: Michael Antony, Udede
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...