album cover
Omaya
album cover
00:00
00:20
00:25
00:35
02:45
00:00
02:55
Past 7 Days
Omaya was discovered most frequently at around 20 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

(Chorus)
Nilimpenda vibaya, japokuwa malaya
Kanilipa mabaya, Omaya
Nilimpenda vibaya, japokuwa malaya
Kanilipa mabaya, Omaya
(Verse 1)
Kaniacha, kanicheat, ila bado nam-miss
Yake mazoea ndiyo yananichanganya
Sikumuacha kwa mikiki, pengine ibilisi
Alipo mwambieni nampenda sana
Sijui alikosa kipi mpaka kanicheat
Labda simridhishi, lakini hapana
Huenda sio riziki na Mungu akubariki
Mimi kuwa na yeye imeshindikana, mh
(Pre-Chorus)
Dibedi kasam kahona hiheee
Tumpase hahee Omerijah
Nilimwaga jasho na damu
Kwa ajili yake, leo mapenzi yote
Yamekwisha
(Chorus)
Nilimpenda vibaya, japokuwa malaya
Kanilipa mabaya, Omaya
Nilimpenda vibaya, japokuwa malaya
Kanilipa mabaya, Omaya
(Verse 2)
Kwenye vita ya mapenzi nakufa
Na sina msaada, nateketea
Najitahidi hata nizibe ufa
Kumbe juu panavuja na naloa
Napata taabu kila kukikucha
Kukuona ubavuni mwangu nilizoea
Hata kamwili kalianza kuja
Ila toka umeniacha nimepungua
(Pre-Chorus)
Dibedi kasam kahona hiheee
Tumpase hahee Omerijah
Nilimwaga jasho na damu
Kwa ajili yake, leo mapenzi yote
Yamekwisha
(Chorus)
Nilimpenda vibaya, japokuwa malaya
Kanilipa mabaya, Omaya
Nilimpenda vibaya, japokuwa malaya
Kanilipa mabaya, Omaya
Written by: Adamu Salumu Mshamu, Don Breezy, Hassani Nassoro Mohamed
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...