album cover
Malipo
album cover
Malipo was released on August 5, 2026 by Amm Music as a part of the album Malipo - Single
August 5, 2026
LabelAmm Music
BPM160
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Macho yanaona mengi
Macho hata ambayo ngumu kuonekana
Na maumivu ni kitu ambacho
Kikijaga kinaumiza sana
Nafsi inatamani uwepo wako
Ila moyo unasema hapana
Umeniacha kipindi ambacho
Moyo wangu unakuhitaji sana
Ila tambua malipo hapa hapa duniani
Si unanicheka, unaona sawa navyolia
Sometimes nikipiga simu unaniuliza nani
Kuna muda ndo kabisa unanikatia
Hivi aliyegundua mapenzi haya ni nani?
Kwani hanioni mtu mimi navyolia
Ikitokea awekwe mbwa na wewe
Yani bora ya mbwa, sitamani kukurudia
Inatosha
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Bora nikate bima ya mapenzi
Nipate malipo kisa kuachwa
Yuko wapi mkandarasi wa mapenzi?
Huku jengo langu linabomoka
Kuna muda nikiyawaza mapenzi
Hadi kupenda huwa nasusa
Ila shetani ana vishawishi
Kundini tena anarudisha
Au tuseme mapenzi wameumbiwa matajiri
Masikini tunateseka ndo maana
Ikaandikwa kila mbuzi atakula
Kwa urefu wa kamba yake ambayo imepimwa
Ila tambua malipo hapa hapa duniani
Si unanicheka, unaona sawa navyolia
Sometimes nikipiga simu unaniuliza nani
Kuna muda ndo kabisa unanikatia
Hivi aliyegundua mapenzi haya ni nani?
Kwani hanioni mtu mimi navyolia
Ikitokea awekwe mbwa na wewe
Yani bora ya mbwa, sitamani kukurudia
Inatosha
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Ayee hahae, ayee hahae
Written by: Hassani Nassoro Mohamed
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...