album cover
ungejua
album cover
ungejua was released on March 20, 2026 by 12195743 Records DK2 as a part of the album ungejua - Single
March 20, 2026
Label12195743 Records DK2
BPM130
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Yaaahh… yaaahh…
Ooooh… ooooh… ohhhooo…
(Soft oud + piano)
Mapenzi ya dhati, yaliyomo moyoni
Mmeahidi sikuachi, mpaka mwishoni
Lakini we mamyy, umekwenda mbali
Umeniacha gizani, mi sina hali
Watoto wanitazama, baba yao nalia ooooh
Mi nashindwa la kusema, nabaki naumia rohoooo
Laiti ungejuaaaaa
Ninavyokupendaaa
Usingekimbia ooooh
Mwenzako naumiaaa
Watoto wanitazama, baba yao naliaa ooh
Mi nashindwa la kusema, nabaki naliaa ooh
Wahsh fi alqalb… ya'alimuni al-huzn
Taa'ib fi tariq… ya rab anqidhni min al-dhun
Nionee huruma mama, nafsi yangu inateseka
Rudi nyumbani honey, bila wewe nakosa hewa
Watoto wanitazama, baba yao nalia ooooh
Mi nashindwa la kusema, nabaki naumia rohoooo
Laiti ungejuaaaaa
Ninavyokupendaaa
Usingekimbia ooooh
Mwenzako naumiaaa
Watoto wanitazama, baba yao naliaa ooh
Mi nashindwa la kusema, nabaki naliaa ooh
Come home darling…
Why you don't come home…
Watoto wanaliaaa…
Baba yao naumiaaa…
Nimerudi chini, moyo umechoka
Bila wewe mama, dunia inanibana
Yaaahh… yaaahh…
Ooooh… ooooh…
Laiti ungejua…
Ninavyokupenda…
Written by: MFAUME SOKO SHULE
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...