album cover
Nitafanyaje
album cover
00:00
00:05
00:10
00:15
00:25
00:30
00:50
00:55
01:10
01:25
01:35
01:45
01:55
02:00
02:05
02:25
02:45
02:50
03:05
03:10
03:20
00:00
03:26
Past 7 Days
Nitafanyaje was discovered most frequently at around 1 minutes and 25 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

It’s chinga
Naimba tena mapenzi
Chipaka on the beats
Siogopi kusemaa
We mzuri, niikusifieee
Nimeandika na wimbo mzuri
Naomba nikuimbie
Kama kuhema
Tufanye we ndo pumzi yangu mie
Umeupa moyo ukilema
Usinipe na chongo nihurumie eeh
Vile unavyonipa na unavyopenda sifa nawezaje kusahau
Ndio vienifanya nimeng’ang’na
Nimejisahau
Mapenzi unayonipa vyakunipaa
Wewe ndio vimenifanya nimeng’ang’ana
Nimejisahau
Nitafanyaje
Ndio nisha ndio nisha kupenda
Nitafanyaje
Ndio nime ndio nime shazama
Nitafanyaje
Ndio nisha ndio nisha kupenda
Nitafanyaje
Ndio nime ndio nime shazama
Nitafanyaje
Ndio nisha ndio nisha kupenda
Nitafanyaje
Ndio nime ndio nime shazama
Tueleweshane, penye tatizo tuulizane
Penye shida tuelimishane
Ndio mapenzi tushikamane
Mpenzi wapo, wapo
Waochezeana tusiwe sisi
Kipenzi wapo wapo
Wanaodanganyana tusiwe sisi
Vile unavyonipa na unavyopendansifa nawezaje kusahau
Ndio vienifanya nimeng’ang’na
Nimejisahau
Mapenzi unayonipa vyakunipaa
Wewe ndio vimenifanya nimeng’ang’ana
Nimejisahau
Nitafanyaje
Ndio nisha ndio nisha kupenda
Nitafanyaje
Ndio nime ndio nime shazama
Nitafanyaje
Ndio nisha ndio nisha kupenda
Nitafanyaje
Ndio nime ndio nime shazama
Nitafanyaje
Ndio nisha ndio nisha kupenda
Nitafanyaje
Ndio nime ndio nime shazama
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...