album cover
Raha
14,232
Afro-Pop
Raha was released on April 29, 2026 by Kondela as a part of the album Raha - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
02:10 - 02:15
Raha was discovered most frequently at around 2 minutes and 10 seconds into the song during the past week
00:00
00:20
00:35
00:40
00:45
01:00
01:15
01:20
01:25
01:35
01:45
02:00
02:10
02:25
02:30
02:45
03:05
03:10
03:15
03:30
03:40
03:50
04:00
00:00
04:09

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kondela
Kondela
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Kondela
Kondela
Lyrics
Siraju Amani
Siraju Amani
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Kwenye moyo ulikuepo
Kabla hata hatuja kutana
Hisia nyingi zikawa kwako
Kabla hata hatujajuana
Nilidata na mapozi yako
Pindi macho yaligongana
Nikatamani tu niwe hapo
Ukakubali bila hiyana
Penzi dimbwi Nimezama
Napewa vya warabu na wahindi (Nyama)
Hatushindwi kushindana
Lakini tayari si washindi (Zama)
Kwani shida nini nini, mchumba haunambii
Kunivuta chumbani, hiyo michezo gani
Kwani shida nini nini, mchumba haunambii
Kunivuta chumbani, hiyo michezo gani
Ona nanogewa raha, nazidiwa raha
Nanogewa raha
Ona nanogewa raha, nazidiwa raha
Nanogewa raha
Kuhusu mapenzi hapa kiwandani
Nashona akidalizi shuka kitandani
Kama ye kajol me mi ndo shah rukh khan
Napewa penzi zito limevunja mizani
Yani dimbwi Nimezama
Napewa vya warabu na wahindi (Nyama)
Hatushindwi kushindana
Lakini tayari si washindi (Zama)
Kwani shida nini nini, mchumba haunambii
Kunivuta chumbani, hiyo michezo gani
Kwani shida nini nini, mchumba haunambii
Kunivuta chumbani, hoyo michezo gani
Ona nanogewa raha, nazidiwa raha
Nanogewa raha
Ona nanogewa raha, nazidiwa raha
Nanogewa raha
Jamani ona nanogewa raha, Nazidiwa raha
Nanogewa raha
Ona nanogewa raha, nazidiwa raha
Nanogewa raha
Written by: Abdulrahman Kondela, Siraju Amani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...