album cover
Sanam
album cover
00:00
00:15
00:40
00:55
01:20
01:40
01:45
02:00
02:25
02:40
02:45
02:55
00:00
03:03
Past 7 Days
Sanam was discovered most frequently at around 55 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Aah, aah, aah
Naitwa kondela,
aah, aah, aah
Mashaallah, mtoto amejaaliwa nywele
Mtoto anavutia sura, oneni macho
Kasimama imara, mtoto mambo lelelele
Na haifanyi biashara, msitoe macho
 
Ah, najiona majuu, kumbe nipo bongo
Marashi karafuu, anituliza ubongo
Anipa hadithi za mapenzi,kwa lugha ya kimombo
Nami nampa simulizi, Eric wa shigongo
Sanam, ooh sanam, Mere sanam
Shemeji yenu ntamjengea sanam
Oh sanam, mere sanam
Shemeji yenu ntamjengea sanam
Naandaliwa samaki jodari, nala na sima
Nalishwa vizuri sikuizi nanona
Kina, Kwenye bahari, nazama mazima
Mwenzenu tayari nimetulizana
Nacheza na mtaalamu, nakesha bila kujua
Anipa vitu adimu, na mengine kayavumbua yeye
Ah, najiona majuu, kumbe nipo bongo
Marashi karafuu, anituliza ubongo
Anipa hadithi za mapenzi,kwa lugha ya kimombo
Nami nampa simulizi, Eric wa shigongo
Sanam, ooh sanam, mere sanam
Shemeji yenu ntamjengea sanam
Oh sanam, mere sanam
Shemeji yenu ntamjengea sanam
Written by: Abdulrahmani Mickidady, Siraju Amani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...