Music Video

Angela Chibalonza - Yahwe Uhimidiwe (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Angela Chibalonza Muliri
Angela Chibalonza Muliri
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Angela Chibalonza Muliri
Angela Chibalonza Muliri
Songwriter

Lyrics

Yahwe Uhimidiwe Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Yahwe Uhimidiwe Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Uliumba lakini haukumbwa Jina lako jemedari, ninakuinua Jina lako mkombozi, ninakupenda Umefuta jina langu kwenye hukumu Umefuta jina langu kwenye laana Ndio maana nakuina Mungu wangu ee Kwa sababu siko tena chini ya dhambi ee Yahweh Uhimidiwe Halleluyah Uaminifu wako umejulikana Halleluyah Yahwe Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Ooh Yahweh Yahwe Uhimidiwe Uhimidiwe baba ee Uaminifu wako umejulikana Halleluyah Kwa mataifa yote ya ulimwengu, baba Yahweh Kama si wewe Yesu ningeitwa nani? Kama si wewe Yesu Ningekuwa wapi? Kama si wewe Yesu ningeenda wapi? Kama si wewe Baba ningesema nini? Asante Bwana Yesu kwa ukombozi Asante Bwana Yesu Kwa wokovu Ndio maana nakuinua Mungu wangu Umeniokoa mimi kwa damu ya bei Umenitendea mambo ya ajabu Ninakuinua Baba yahweh Yahweh Uhimidiwe Halleluyah baba oh Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa Kwa mataifa yote ya ulimwengu, ya ulimwengu Yahweh Yahweh Yahwe Uhimidiwe Uhimidiwe maishani mwangu Uaminifu wako umejulikana Halleluyah baba ee Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Majina yote mazuri ni yako baba Unaitwa Jehova shammah, ninakupenda Unaitwa Jehova Jehova Jireh, ninakupenda Unaitwa Jehova Nissi bendera ya ushindi wangu Asante Baba yangu kwa upendo wako Hakuna Mwingine kama wewe Hakuna Mwingine kama wewe Ninakupenda Baba yangu Yahwe Uhimidiwe Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Yahwe Uhimidiwe Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Yahwe Uhimidiwe Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Yahwe Uhimidiwe Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Writer(s): Angela Chibalonza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out