album cover
Muziki
96
Afro-Beat
Muziki was released on April 29, 2026 by IMUH as a part of the album Muziki - Single
album cover
Release DateApril 29, 2026
LabelIMUH
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM109

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Imuh
Imuh
Piano
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Terriyo Monster
Terriyo Monster
Producer

Lyrics

Onanana nana nana eeh
Imuh
 Huu muziki kitambo sijaanza jana
nimeanza kuimba mdogo mpaka sasa ni kijana
Hili game lina mambo so rahisi bwana
Kipaji so mchongo issue ni kujulikana
Mchumba ananambia niache mziki nifanye kazi
Muda natafuta hit ndo ambao ananihitaji
Anauliza naimba nini kama naimba mbona sitoki
Muda naforce mziki kingefokasi kufosi mtaji
Kwn ku hustle kuna muda gani mudaa
Ama kuimba sijui niambien jamn
Mana mateso sijui mwisho lini
Naforce sana sitoboi Kwan nakosea nini ayoooo
Niko hoi nimechoka sanaa
Muziki utaniuaa na mita fanya nini
Hata nikikata tamaa muziki utaniuaa
Kwa kishingo upande nazidi kukomaa muziki utaniuaa
Inachosha inaumiza sana
Muziki utaniuaa aaayayaya
Cheketu cheketu maepe
Ama situmii waganga
Ama nimekaa kiboya sijui kuwanga
Game limekaa kinafiki linamambo
Yakiwaki una rafiki yako ni star
Ukimuomba kolabo bado ataki
Unashea link na marafiki
Kukusapoti hawataki
Wanacomment fire hawajafungua link
Kwn ku hustle kuna muda gani mudaa
Ama kuimba sijui niambien jamn
Mana mateso sijui mwisho lini
Naforce sana sitoboi Kwan nakosea nini ayoooo
Niko hoi nimechoka sanaa
Muziki utaniuaa na mita fanya nini
Hata nikikata tamaa muziki utaniuaa
Kwa kishingo upande nazidi kukomaa muziki utaniuaa
Ayaaa inachosha inaumiza sanaa
Nikirekod na terrio kila kibao anasema hit
Nikitoa ikibuma anasema ijayo ndo itakuwa hit
Issa yambata
You can call me zuzu
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...