album cover
Walete
album cover
00:15
02:05
00:00
02:36
Past 7 Days
Walete was discovered most frequently at around 15 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Onana nana nana e
Imuh
Babe mbona bado mapema
ongeza kelele apunguza kuhema leo
Ntakulaza mahalapema
apa silali mpaka nikupe kilema leo
Babe hauna mipaka
sina wese na bado unaniwasha
Kuna muda kama umechoka
nikitaka kutoka na bado unanivuta
Unanivuruga unanichanganya sana
Punguza kunitazama
unaniuwa kinoma
Kama namuonea vile anavyo lia lia
Kumbe amefauru shule kapewa chet cha engineer
Refa kupuliza kipyenga (walete)
Mechi ndo kwanza inaanza(walete kati)
Ukishambulia rud kukabaa(walete)
Hii mechi lazima kushinda(walete kati)
Sikosi kipindi nipo darasan
Asubuh mchana na jion
Kanipa fumbo nisake ramani
Nimeingia pakutoka sipaoni
Kama nakimbiza mwizi
sura ya mbuzi sichek na wowote
Naye hana makuzi
Mtoto kikojozi
Kapaloesha kote
Kwan una pumu una pumu una pumu maa
Mbona umedilei kama betr inazima
Nimefunga kilemba yan toka jana
Leo mechi haishi yani noma noma
Kama namuonea vile anavyolia lia
Kumbe amefauru shule kapewa chet cha engineer
Refa kupuliza kipyenga (walete)
Mechi ndo kwanza inaanza(walete kati)
Ukishambulia rud kukabaa(walete)
Hii mechi lazima kushinda(walete kati)
Dundo lina waka waka
Limeshinduliwa na terriyo monster
Mikazo bila kuchoka
Tunacheza kibosi ka issa yambata
You can call me zuzu
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...