album cover
Nairobi
album cover
Nairobi was released on July 24, 2026 by 2026 Liboi as a part of the album HATUA
AlbumHATUA
ReleasedJuly 24, 2026
Label2026 Liboi
BPM51
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Ah Nairobi,
Oh Nairobi,
Ah Nairobi,
Oh Nairobi,
Khwenyanga khutsie tukalewe
Wenye sera wan'taka wapewe,
Hakuna cha bure
Wamama kwa vijana
Wasichana kwa wazee
Kama wataka kile (Kile)
Lazima ufanye ile (Eeeh)
Kama wataka yule (Yule)
Lazima ufanye yale (Aaah)
Kama wataka kile (Kile)
Lazima ufanye ile (Eeeh)
Na kama wataka yule (Yule)
Lazima ufanye yale (Aaah)
Ah Nairobi,
Oh Nairobi,
Ah Nairobi,
Oh Nairobi,
Mji wa maji (aaah)
Yapenda hepy (aaah)
Vijana ni wengi
Ah Nairobi,
Oh Nairobi
Khwenyanga khunyola vhasiani
Vheupire vakhana
Badala ya kazi
Mwataka usaidizi
Kama wataka kile (Kile)
Lazima ufanye ile (Eeeh)
Na Kama wataka yule (Yule)
Lazima ufanye yale (Aaah)
Kama wataka kile
Lazima ufanye ile
Na kama wataka yule oh
Lazima ufanye yale
Kama wataka kile
Lazima ufanye ile
Na kama wataka yule Oh
Lazima ufanye yale
Ah Nairobi,
Oh Nairobi,
Ah Nairobi,
Oh Nairobi,
Mji wa maji (aaah)
Yapenda hepy (aaah)
Vijana ni wengi
Ah Nairobi,
Oh Nairobi
Ah Nairobi,
Oh Nairobi
Mji wa maji (aaah)
Yapenda hepy (aaah)
Mji wa maji (aaah)
Yapenda hepy (aaah)
Ah Nairobi,
Oh Nairobi
Ah Nairobi,
Oh Nairobi
Written by: Sharone

Loading...