album cover
Far Away
106
Music
Far Away was released on June 19, 2026 by Universal Music Kenya Limited Distributed Labels as a part of the album 17
album cover
Album17
Release DateJune 19, 2026
LabelUniversal Music Kenya Limited Distributed Labels
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM87

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mimi Mars
Mimi Mars
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mimi Mars
Mimi Mars
Lyrics
luckie sound
luckie sound
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
luckie sound
luckie sound
Producer

Lyrics

Nilimmezeaga p2
Wala siku mwona wa mana
Alinipa pesa mavitu vitu
Mi kwenda viwanja kwa sana
 
Some body alinipenda tu
Ila mi kwa muda ule
Me bado sikupenda
Natoa vimacho macho juu
Nikizani kama wale
wanao ni winda
Mimi right now
Mnyonge wa mapenzi
Nikikumbuka niliya puuza
Nshajipiga kitanzi
Sio sawa aaaah
Right now mnyonge wa mapenzi
Nikikumbuka ni liyapuuzaga
Nshajipiga kitanzii iiiii iiiih
Far away far away
Nakumbuka ya nyuma
Nlipewaga mapenzi
 
Far away far away
Kujiona mjanja
kumbe naya parua mapenzi
Far Away far away
Mi natapa tapa mmh
Mi natapa tapa mmh
 
Nawaza tu
 nawaza tu
nikikukosa wee my boo
Baby bebe baby
Usiondoke
na mi nipende
Nilikupakaza matope
Forgive me bebe nipende
 
Baki na mi baki na mii
Baki na mimiii
Nasema baki na mi
Baki na mi baki na mimi
Mimi right now
Mnyonge wa mapenzi
Nikikumbuka niliya puuza
Nshajipiga kitanzi
Sio sawa aaaah
Right now mnyonge wa mapenzi
Nikikumbuka ni liyapuuzaga
Nshajipiga kitanzii iiiii iiiih
 
Far away far away
Nakumbuka ya nyuma
Nlipewaga mapenzi
 
Far away far away
Kujiona mjanja
kumbe naya parua mapenzi
 
Far Away far away
Mi natapa tapa mmh
Mi natapa tapa mmh
Written by: Mimi Mars, luckie sound
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...