album cover
Moyo Tissue
9
Music
Moyo Tissue was released on June 19, 2026 by Universal Music Kenya Limited Distributed Labels as a part of the album 17
album cover
Album17
Release DateJune 19, 2026
LabelUniversal Music Kenya Limited Distributed Labels
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM113

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mimi Mars
Mimi Mars
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mimi Mars
Mimi Mars
Lyrics
T-rone
T-rone
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
T-rone
T-rone
Producer

Lyrics

Nimewaza sana
Me sina cha kusema
Leo naweka vyema
Na thubutu kusema
Nimezunguka sana
Kukupata maana
Me nakupenda sana
Unanivuruga bana
Aaah mapenziii
Moyo tishu umelowana
Langu penzi nyang’a nyang’a
Hata upite juu
chini na banana
Si unajua
wee unajua
 
Moyo tishu umelowana
Langu penzi nyang’a nyang’a
Hata upite juu
chini na banana
Si unajua
wee unajua
 
Sa mtajijua mliyosema
eti tutaachana
Hili penzi kitumbua kumwagika apange rabana
Namnazidi kujisumbua wakati mimi nae tumeshibana
Yakwetu yatawasumbua me nampenda
Ngumu kuachana
Ananipenda
na mimi nampenda
Kamwe kumtenda
Me sifikirii
Kwenye moyo anadunda
Vimboga mboga matunda
Kamwe kumtenda mi sifikirii
 
Moyo tishu umelowana
Langu penzi nyang’a nyang’a
Hata upite juu
chini na banana
Si unajua
wee unajua
Moyo tishu umelowana
Langu penzi nyang’a nyang’a
Hata upite juu
chini na banana
Si unajua
wee unajua
Written by: Mimi Mars, T-rone
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...