album cover
Yeye
album cover
00:00
00:10
00:15
00:40
00:45
01:05
01:25
01:50
02:00
02:05
00:00
02:15
Past 7 Days
Yeye was discovered most frequently at around 1 minutes and 5 seconds into the song during the past week

Lyrics

Nashindwa
Kuku uliza baby where you are
Kama unitaki sa si bora uniambie
Kuku penda ndo inafanya nakosa raha
Nakucheki
unatumika
uko busy
Kuna vitu unafanya
Naona kama naota
Sa mpaka kukupenda naogopa
Kama kamanda tu
Una foka foka
Kupishana kidogo tu
Unaondoka
Yeye Yeye
Yeye Yeye….
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Alooo
Okay
Kuna muda nakuwa busy naforce mamishe
Nipate kidogo
Nije nikulishe
Sijui unataka muda
Au unataka mapenzi
Chagua kimoja
Kufanya vyote siwezi
Si unajua naforce uko maisha ya ukweli baby
Nakosa hata muda wa kukujibu message
Usioni sikujali
Kichwa ina vitu vingi
Ila Ondoa shaka
Mama mtu
Wala sikupingi
Okay okay
Yeye yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Abubakari Mwembe
Skia kitu hicho
Yeye yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Yeye Yeye
Written by: Aloneym, D Voice, Mimi Mars

Loading...