album cover
Raha
album cover
00:00
00:05
00:15
00:40
00:45
01:00
01:10
01:20
01:30
01:35
01:40
01:45
02:15
02:20
02:30
02:35
02:55
00:00
03:08
Past 7 Days
Raha was discovered most frequently at around 15 seconds into the song during the past week

Lyrics

Ndege mnana binti sanga linah
Kama kuna lolote mpenzi uliza,
Ama kama kuna nilofanya likakuchukiza, Nguvu ya yako ya mapenzi baba inaniliza (aniliza aniliza), Umekuja kama mwanga kwenye chumba cha kiza.
 
Mapenzi yamenizidia uzito,
Sichiwezi yamenisomba yako mafuriko,
Mapenzi yamenizidia uzito,
Kwako sichiwezi yamenisomba yako mafuriko.
Jamani Raha jamani raha
Jamani Raha
kupendwa na wewe
Jamani Raha naona raha
Jamani raha oooh!
Jamani Raha Jamani raha
mimi kupendwa na wewe
eeeh naona raha
jamani raha oooh!
Zali zali nani amekota ndodo chini ya mwembe,
Mwenye bahati ubahatika hata kama mzembe,
Na uchizi uwe baba wa'ntia mawenge,
Na kwenye kona kona moyo umaupitia kwa denge.
Mapenzi yamenizidia uzito,
Sichiwezi yamenisomba yako mafuriko,
Mapenzi yamenizidia uzito,
Kwako sichiwezi yamenisomba yako mafuriko.
Jamani Raha jamani raha
Jamani Raha
kupendwa na wewe
Jamani Raha naona raha
Jamani raha oooh!
Jamani Raha Jamani raha
 mimi kupendwa na wewe
eeeh naona raha
jamani raha
oooh!
 
Zari zalina nimeokota dodo chini ya muembe mwenye
bahati hubahatika hatakama muzembe na uchuzi
webaba wantia mawenge na kwenye kona kona moyo
 umwupitia kwa denge
Mapenzi yamenizidia uzito,
Sichiwezi yamenisomba yako mafuriko,
Mapenzi yamenizidia uzito,
Kwako sichiwezi yamenisomba yako mafuriko.
 
Jamani Raha jamani raha
Jamani Raha
kupendwa na wewe
Jamani Raha naona raha
Jamani raha oooh!
Jamani Raha Jamani raha
 mimi kupendwa na wewe
eeeh naona raha
jamani raha
oooh!
Written by: Estelina Peter Sanga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...