album cover
Nipo
album cover
00:00
00:15
00:50
01:05
01:10
01:20
01:30
01:40
02:00
02:25
02:35
02:40
00:00
02:52
Past 7 Days
Nipo was discovered most frequently at around 15 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Bado nipo nipo
Nampa hatipa nampa hayuni
Mi ndo jiko
Nishatenga mafiga niletee ukuni
Madiko diko, yeah
Nampa nashiba atakutwa mara kumi
Na nawaona people
Mnavyojipitisha huo ugomvi wa wangumi
Upande mng'oni, upande mtanga (hatari iyo!)
Na maungoni nampa vanga, sema (hatari iyo!)
Jini mahaba limepanda, sema (hatari iyo!)
Pia akishuka, juu nabanda mie (hatari!)
Nakuwa mwepesi
Nadunda dunda kama kitenesi
Hapo, ndo nakuwa mwepesi
Nadunda dunda kama kitenesi
Hapo, ndo nakuwa mwepesi
Nadunda dunda kama kitenesi
Hapo, ndo nakuwa mwepesi
Nadunda dunda kama kitenesi
Kama nyanya kwenye genge
Mpini mwenzie jembe
Acha agoe wapi twende
Twende...
Ladha yake peremende
Asali raha urambe
Mambo safi mbona pambe
Pambe...
Upande ng'oni, upande mtanga (hatari iyo!)
Na maungoni nampa vanga, sema (hatari iyo!)
Mvinyo maba limepanda, sema (hatari iyo!)
Pia akishuka, juu nabanda mie (hatari!)
Nakuwa mwepesi
Nadunda dunda kama kitenesi
Hapo, ndo nakuwa mwepesi
Nadunda dunda kama kitenesi
Hapo, ndo nakuwa mwepesi
Nadunda dunda kama kitenesi
Hapo, ndo nakuwa mwepesi
Nadunda dunda kama kitenesi
Written by: Estelina Peter Sanga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...