album cover
Hisia
album cover
00:00
00:05
00:15
00:25
00:35
00:45
00:50
01:05
01:25
01:50
02:30
00:00
02:39
Past 7 Days
Hisia was discovered most frequently at around 1 minutes and 20 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Intro]
Ooh oooh
Aaah aaah
Aaaah pazito
The one and only Jay
[Verse 1]
Sijui wapi nafeli kama kujali najali tena nakuzingatia
Sio kama hujielewi unajitoa tu fahamu kusudi unanifanyia
Kuna muda najiuliza
Naforce vitu au vipi
Kila siku mi ndo naumizwa
Nipo kwako kama shabiki
Ovyo
[PreChorus]
Nimeona nisikulazie
Damu nimeamua nikuambie
Mambo unayofanya jifikirie
Kama kushare kwa wengine sio mie
[Chorus]
Si umeamua kucheza nazo
Aaah hisia
Hisia zangu unazichezea
Aah hisia
Umeamua unipe mawazo
Aaah hisia
Hisia zangu unazikosea
Aaaah hisia
We si umeamua kudeal nazo
Aaaah hisia
Hisia zangu unazionea
Aaaah hisia
Sa kwanini unipe mawazo
Aaah hisia
Hisia zangu unazikosea
Aaaah hisia
Mamaaa
Pazito
[Verse 2]
Mi nakupa moyo wangu unautia ndimu
Unautia stress mi mpaka naingia gym
Unadharau nazi embe tunda la msimu
Kwa nyumba shetani kaingiaje mwendawazimu
Ahadi ahadi zote ulizonipa
Umeshindwa kuzitimiza ona leo mapicha picha
Mapenzi yamekwisha yamekwisha
[PreChorus]
Nimeona nisikulazie
Damu nimeamua nikuambie
Mambo unayofanya jifikirie
Kama kushare kwa wengine sio mie
[Chorus]
Si umeamua kucheza nazo
Aaah hisia
Hisia zangu unazichezea
Aah hisia
Umeamua unipe mawazo
Aaah hisia
Hisia zangu unazikosea
Aaaah hisia
We si umeamua kudeal nazo
Aaaah hisia
Hisia zangu unazionea
Aaaah hisia
Sa kwa nini unipe mawazo
Aaah hisia
Hisia zangu unazikosea
Aaaah hisia
Mamaaa
Written by: Sharif Said Juma
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...